Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Huyo Dogo bila shaka atakuwa ni mdau mkubwa wa humu JF hasa kwenye Uzi wetu pendwa wa rikiboy ,,mpk kuandika hapa ni wazi hajakutoka kichwani, we mtafute TU, mpe TU mbususu akupelekee moto mpk uombe talaka kwa mume wako ubaki kumlea huyo dogo
 
Jinsi unavyojiweka ndivyo hivyo mtu hupata hali kukuona anakumudu. Huwenda ukawa kweli aged lakini mavazi na life style yako anaona ni wa rika lake na anakumudu.
Either...
1. Mavazi
2. Stylish
3. Story zako
4 hangout zako nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…