Nimetuma pesa nje ya nchi mwezi na nusu kupitia benki moja nchini mpaka sasa haijafika: Sheria ikoje

Nimetuma pesa nje ya nchi mwezi na nusu kupitia benki moja nchini mpaka sasa haijafika: Sheria ikoje

Kenedy

Member
Joined
May 27, 2010
Posts
6
Reaction score
1
Wana jamii:
Nimetuma pesa nje ya nchi kwa mwezi mzima mpaka sasa haijafika kila nikienda naambiwa tatizo lilikuwa address, mara ya pili baada ya wiki mbili nikaambiwa tatizo ni account no. Juzi nikaambiwa sasa kesho itafika. Leo biashara yetu imefeli kwa sababu pesa haikufika kwa sababu zizizoeleweka. Wanasheria naomba msaada Hii ikoje?
 
Back
Top Bottom