Nimetumia karibu laki 6 usiku huu wa mwaka mpya

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Usiku huu wa mwaka mpya nimeshatumia karibu laki 6 mpaka sasa hivi nishatumia 560000 usiku huu tuu,
I dont care hata iishe milion moja jaman leo birthday yangu naenjoyy tyuuu
Wale wapenz wa wine, beer, sooda jaman mkuje bia utakunywa mpaka uchoke mwenyewe
Tumia pesa ikuzoeeeeeeee
 
Daah Tanganyika yangu.
tapatalk_1511580414361.jpeg
 
Mi nimeshafikisha 1M kwa usiku tu, nipo nakula bia na nyama choma kama bado hujapata supu ya asubuhi njoo nipo hapa Coco Beach Mkuu
 
Usiku huu wa mwaka mpya nimeshatumia karibu laki 6 mpaka sasa hivi nishatumia 560000 usiku huu tuu,
I dont care hata iishe milion moja jaman leo birthday yangu naenjoyy tyuuu
Wale wapenz wa wine, beer, sooda jaman mkuje bia utakunywa mpaka uchoke mwenyewe
Tumia pesa ikuzoeeeeeeee
OK. Kumbuka January ina siku 47
 
Back
Top Bottom