Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
OK. Kumbuka January ina siku 47Usiku huu wa mwaka mpya nimeshatumia karibu laki 6 mpaka sasa hivi nishatumia 560000 usiku huu tuu,
I dont care hata iishe milion moja jaman leo birthday yangu naenjoyy tyuuu
Wale wapenz wa wine, beer, sooda jaman mkuje bia utakunywa mpaka uchoke mwenyewe
Tumia pesa ikuzoeeeeeeee
hahaa tumia mkuuMi nimeshafikisha 1M kwa usiku tu, nipo nakula bia na nyama choma kama bado hujapata supu ya asubuhi njoo nipo hapa Coco Beach Mkuu
hahahaaaaaNdogo sana ongeza mpaka mil 3 then come back
Kichwa kichafu niaje MkuuWe ni me au ke?