Nimetumia metakelfin ya kutibu malaria, nitaweza kutumia dozi ya meloxican na amoxiclav628 kabla ya siku saba?

vijora

Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
43
Reaction score
30
Habari yenu wana jukwaa, hivi juzi nilikuwa nahisi maumivu ktk kifua upande wa kushoto lakini si maumivu makali yaani nahisi kero tu na inatokea mara chache tu japo sasaivi nahisi inaweza kutokea mara 3 kwa wiki..

Nilipoenda hospital dr.akaniandikia dawa amoxiclav628 na meloxicam, akasema baada ya kutumia dawa hizo nikiona hali inaendelea basi nipige x ray.

Lakini juzi nimekunywa dawa ya malaria metakelfin sasa naogopa kutumia hizo dawa nyingne meloxican na amoxiclav628 coz huwa nasikia ukinywa metakelfin hutakiwi kunywa dawa nyingne mpaka baada ya siku 7..mimi siyo mtaalam wa mambo haya

Naomba mnijuze hapo naweza kutumia hizo dawa japo nimemeza metakelfin au nisubiri wiki ifike..Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…