Nmetolea mfano mkuuMtu asomeshe mtoto wake mpk diploma ww uje umfungulie genge badala ya kumuendeleza kielimu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]embu twende kule kwetuMtu asomeshe mtoto wake mpk diploma ww uje umfungulie genge badala ya kumuendeleza kielimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha Daaah watu wote wangekuwa wanapata wake kwa staili hii mbona ndoa zingekuwa hazidumu kabisaaa. Na huo mstari wa mwisho ndio wanawake hawautakiiiii hata awe muislam SWAFIIIIIHabrinii WanaJF
Refer to the heading above
Mimi ni kijana wa miaka 28 single up to this time, Napambana na hali yangu maisha sioo mabaya employed and entrepreneur
Sifa za mtarajiwa
1. Kitu cheupee
2. Mrefu wa wastani
3. asiwe chibonge
4 . Awe muislam swafii
5. Business oriented hata ukimfungulie genge anasimamia
6. Atleast Diploma elimu muhimu
Only serious.. In shaa Allah
NB; Nina nafasi nne za wazi your welcome
Habrinii WanaJF
Refer to the heading above
Mimi ni kijana wa miaka 28 single up to this time, Napambana na hali yangu maisha sioo mabaya employed and entrepreneur
Sifa za mtarajiwa
1. Kitu cheupee
2. Mrefu wa wastani
3. asiwe chibonge
4 . Awe muislam swafii
5. Business oriented hata ukimfungulie genge anasimamia
6. Atleast Diploma elimu muhimu
Only serious.. In shaa Allah
NB; Nina nafasi nne za wazi your welcome
nimeacha kusoma ghafla nilipoona 'kufauru'
Sio muislam swafiiAhahahaha Daaah watu wote wangekuwa wanapata wake kwa staili hii mbona ndoa zingekuwa hazidumu kabisaaa. Na huo mstari wa mwisho ndio wanawake hawautakiiiii hata awe muislam SWAFIIIII
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sanaMtu asomeshe mtoto wake mpk diploma ww uje umfungulie genge badala ya kumuendeleza kielimu
Sent using Jamii Forums mobile app