OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kama kawaida kama dawa.
Hii timu ya JKT ina beki imara nimetizama kwa jicho la mpira, vijwna wanautulivu wa hali ya juu kuanzia kipa beki mpaka viungo.
Hawabutui hovyo wala hawafanyi makosa mepesi.
Kuna muunganiko nyuma na kati kati.
Ni kama vile kwa mbaali nilidhani ni ukuta wa Yanga.
Yeyote atakayekutana na JKT akae mguu sawa.
Nawasilisha.