OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Juzi kati washirikisho aliomba game na ao Makamanda ampime mchezaji wake mpya, walikandwa 1-0 wameji kaushaaa kama hakuna lililo tokea.Atazivimbia timu mbovu zifuatazo.
1. Inayoshiriki shirikisho
2. Iliyotolewa CAF champions lg.
MkuuJuzi kati washirikisho aliomba game na ao Makamanda ampime mchezaji wake mpya, walikandwa 1-0 wameji kaushaaa kama hakuna lililo tokea.
Ukuta wa mwamnyeto...ahahahahJuzi kati washirikisho aliomba game na ao Makamanda ampime mchezaji wake mpya, walikandwa 1-0 wameji kaushaaa kama hakuna lililo tokea.
Sawa ngoja tusubiriWauza biscuit ni walaini tu ngoja waje wazee wa ngija ngija ndio watajua hawajui
Wana quality ,Wadau mnaionaje JKT?
Sasa hivi wana kitu cha ziada nimekiona, wanajua kujilinda kwa kumiliki mpira, pass accuracy asilimia 98, piawanafalsafa ya soka safiWana quality ,
Pale mbele hawana utulivuSasa hivi wana kitu cha ziada nimekiona, wanajua kujilinda kwa kumiliki mpira, pass accuracy asilimia 98, piawanafalsafa ya soka safi
Utulivu umeanza kuwepoPale mbele hawana utulivu
Mechi nne zilizopita za JKT TanzaniaYeyote atakayekutana na JKT akae mguu sawa.
Labda kwa timu mbovuWana quality ,
Haijawahi kufungwa uwanja wa nyumbaniMechi nne zilizopita za JKT Tanzania
Simba 1
JKT Tanzania 0
Azam FC 3
JKT Tanzania 1
Coastal Union 2
JKT Tanzania 1
JKT Tanzania 0
Yanga 0
Katika mechi nne zilizopita, JKT Tanzania imeruhusu mabao 6, na yote ni katika mechi za kabla ya dhidi ya Yanga
Kama wale wakina Tatu malogo fc walisubilia mpaka Refa atoe msaada Tena wakiwa uwanja wao wa kmc unadhani ni timu ya mchezo kwenye kujilinda!Haijawahi kufungwa uwanja wa nyumbani
Ona huyu kuku.Kama wale wakina Tatu malogo fc walisubilia mpaka Refa atoe msaada Tena wakiwa uwanja wao wa kmc unadhani ni timu ya mchezo kwenye kujilinda!