Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

Hujaona hadi picha umewekewa huko juu aliapa kwa Mgwira?

Mataahira nyie
nazungumza angeapa baada ya kupewa kiburi na jiwe, kipindi anaapa hakuwa na kiburi, alipoanza kuteka na kukata maskio na kubaka ndio hapo jiwe alianza kuminda na akapata kiburi.
 
Itoshe tu kusema wewe ni Popoma!

Ndio maana mods hawachelewagi kukupiga ban ya nusu mwaka!
 
Wewe ulikuwa wapi? Siku zote ma DC huapiswa na mkuu wa mkoa, maana yake they are useless, hawana maana yoyote ile.
 
Wasiapie huku kimoyoni wana nuiaa ya kwao tu

Ova
 
Jambazi linaapa
 
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Naomba utukumbushe DCs na DEDs walioapishwa na Magu..ili watu waweke rekodi Sawa.
 
Naomba utukumbushe DCs na DEDs walioapishwa na Magu..ili watu waweke rekodi Sawa.
Kabla sijakujibu nami naomba kujua kutoka Kwako je, una uhakika nawe una Akili sawa sawa na zimekutimia?
 
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Nakumbuka walikuwa wanaapishwa na Rais na baadae Makonda alikuwa anawaapisha ma DC wa DSM
Inaonesha wazi huu ndio utaratibu sahihi lakini Mjomba alipindisha kidogo.
 
Msisahau na watendaji wa kata nchi nzima, walienda Ikulu-Dar es Salaam mwaka jana kuonana na rais.
 
Pole sana huu utaratibu upo toka JPM akiwa Rais. Pole sana utakuwa ni either una matatizo ya kisaikolojia au una matatizo ya kutofatilia mambo ya msingi
Nilitaka kusema hivyo,haijawahi kufanyika hivyo kama anavyosema mtoa Hoja. Wale wote walioapa wakiwa Ikulu waliapishwa na wakuu wao wa mikoa kama inavyofanyika sasa,kilichokuwa kinatokea ni tu Mhe.Rais alikuwa kama mtazamaji tu kama wengine.

Kumbuka pia DED na DAS hawana kiapo bali walikuwa wanatoa ahadi ya maadili kwa viongozi wa Umma kinachosimamiwa na Kamishna wa Maadili na si vinginivyo.

Mtoa Hoja ungesema unapongeza kwamba kwa sasa wateule wanaapishiwa kwenye mikoa yao husika ungekuwa sahihi.
Hilo la kuapishia Ikulu wateule wengi walilitumia vibaya na kutafsiri kwamba wameapisha na Mhe Rais kama mtoa Hoja anavyoendelea kuamini.

Ahsante.
 
Ina maana mtoa hoja akinachomfanya abishe ni nini? Muungwana akivuliwa nguo huchutama...

Yani mimi sijawahi kuona DC ameapishwa na Rais. Hii ndio naisikia hapa na sidhani kama imewahi kutokea
 
Uzuri wa Hayati Magufuli,yeye alikuwa anataka kuwaona kwa sura hao wateuliwa wake ndiyo maana alikua anataka wote waapishwe pale Ikulu kabla hawajaenda kwenye vituo vyao vya kazi! Na ni kitu kizuri sana,siyo wwe unamuona mtu kupitia file lake tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…