Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

MNYARWANDA (MTUTSI) amedhihirisha kuwa ni BONGE LA "POPOMA " 🤣🤣🤣🤣

kama anavyopenda kuwaita watu

Kuanzia Leo inabidi aitwe "KUBWA JING..." 🤣🤣🤣😂😂😃😃😃
 
Nimejiabisha nilipojiunga JamiiForums mwaka 2013 nilikuambia kuwa nakuja hapa kutafuta Kutokuaibika?

Mbona Wewe unajiaibisha kwa 'Kutinduliwa' hovyo kwa 'Udangaji' wako Uliotukuka na wala hushangai / hujishangai?

Pumbavu.
LEO WEWE MNYARWANDA UMEABIKA SANA!

Kumbe ni BARE HEADED 🤣🤣🤣✋✋

Hivi kulikuwa na ulazima gani kwa wewe kupost huu USHUZI/SHUDU???🤣🤣😃😃

USHUZI huu utanuka Sikh zote hapa jamvini! PUMBAFU!!!🤣🤣🤣✋✋
 
Acha uongo, utaratibu huo wa wakuu wa wilaya kuapishwa na mkuu husika wa mkoa ulikuwa unafanywa hata kipindi cha JPM, hizo ni chuki zako binafsi.
 
Uamuzi mzuri sana, Nawaza Sabaya na Kiburi chake cha "uandakava"feki angeapa kwa mama mghwira kweli? Bora hata JOJO amepelekwa Dar apate mwanaueme aise, maana uzazi kwa wanawake unakoma miaka ikifika 40, sasa ana miaka 35 hana hata mchumba.
kwaiyo mkifika miaka 40yrs uwezekano wa kushika mimba ni asilimia chache kumbe,

wakati umri huo kwa mtoto wa kiume ndio anakuwa mtu mzima baraabara, ujana madhubuti
 
Mkuu unaweza ukafuta tu huu uzi walau siku ya leo na kukiri kwamba umaingia cha kike?

Wakuu wa wa wilaya hawajawahi apishwa na JPM.
 
Hizo hapo naendelea kukupa hivo sio utaribu mpya sema umechelewa kuufahamView attachment 1824318

View attachment 1824319

Yaani Jambazi Sabaya hapo kapewa bunduki kabisa na ulinzi. Mungu nakushukuru kwa kutuletea Mama yetu Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wetu hakika Mungu tunakushukuru sanaa, na kumtoa jambazi mmoja huyu..

Kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Amen
 
Kumbe watu wanajifanya wanajua kumbe siyo!! Ikulu ni ya watanzania wote ,yeyote anaweza kwenda,siyo kila mtu unayeitwa Ikulu ameenda kuapishwa na Rais,Ma DC waliapishwa na wakuu wa Mikoa Ila Rais alianza kuapisha wakuu wa mikoa kisha wakuu wa mikoa wakawaapisha hapohapo ma DC
 
Nilishaliona likifanyika kwa Hayati JPM.
Yaani wewe kweli kiazi
Inaonekana umepata akili kipindi cha JPM
Nikukumbushe
Kipindi unaona hilo tukio ilikuwa hivi
Bahada ya Mrisho Gambo na DC wake kumwagwa na Idd Kimantha kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa na Kihongosi kuteuliwa mkuu wa wilaya
Mkuu wa mkoa alipomaliza kula kiapo kwa rais ndio nae akamuapisha DC Kihongosi hapo hapo ikulu
Kihongosi akala kiapo mbele ya mkuu wake wa mkoa hapo hapo
Hilo tukio ndio ukalikalili
 
Dummy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…