William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Timu iko Full Nondo. Ila wachezaji kufunga itategemea uwezo binafsi.
Mechi mbili na Record zake akiwa kocha zinanifanya nimnyime timu fadlu David. Hana plan kamili ya kukaba au Kufunga tofauti na Mgunda.
Sijaona akichora mchoro wowote wa goli. Mechi iliyopita Simba inafuga kwa uwezo binafsi wa wachezaji. No goal plan.
Hivi Mgunda mbona huwa haitaji muda. Unampa timu asubuhi jioni unaona kazi. Niliona alichowafanyia nyasa big Bulet kwao kisha De Agosto.
Anaondoka benchika akiwa analaumu wachezaji hawafungi. Anapewa timu asubuhi Jioni Azam anakula tatu bila.
Maritzburg ilipompa Mda fadlu akaishusha daraja. Orando ilipompa mda akaitoa namba mbili hadi 4.
Ni mzuri akiwa asistance kocha kama Mwinyi zahera na Kaze. Anajenga uwezo wa mchezaji moja moja lakini hana gemu plan.
Tukisubiri tuwe wa Tano ndio tumpe timu mwamba.