Nimeukumbuka wimbo ya Karubandika hapa, nahisi au inawezekana naelekea huko

Nimeukumbuka wimbo ya Karubandika hapa, nahisi au inawezekana naelekea huko

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Wakuu sina mengi ya kuandika kabisa ila nahisi naelekea huko kwa wapenzi au wasikikilizaji wa nyimbo ya karubandika ya mtoto wa dandu kama umeisikiliza vizuri ndiyo ambacho nikizingua naenda kukipitia hiko maisha si rahisi kama unavyofikiri ndugu zangu dunia imejaa dhiki na maumivu yasioelezeka na ukiwa na roho nyepesi unaweza kuji hang kabisa.

Afya ya akili ni janga kweli kweli kwa ujinga au kutokujua au kuwafurahisha watu ambao nao hawajali kuhusu wewe au wapo kwa ajili ya maslahi tu aisee moyo wangu umejaa kutu kiukweli leo ngoja nizungumze may be naweza kupata relief unafanya kazi na unapata hela lakini Afya ya akili imenidrive can be depression, stress, anxiety and other oooh God please look at me I'm going to surrender in your world.

After death of my mother kila kitu kilibadilika kwenye maisha yangu it pain alot when I remember my mother nakosa mood ya kuishi kabisa na pia nakosa mood ya kufanya kazi kabisa na sioni furaha ya kazi kiukweli nalipwa mshahara na pia mie ni mfanyakazi wa serikali lakini kuenjoy mshahara na maisha pasipo uwepo wa Mama yangu kwangu maisha, kazi na pesa ni meaningless. I'm struggle depression is real. I'm surrender.🙌🙌🙌🙌
 
Pole sana kwa unayopitia

Nsomba kuuliza. Umeshafika stage ya suicidal thoughts?
Loss of interest?
Therapy ya kukusaidia ni jaribu kusafiri ubadili mazingira angalau unaweza kupata motivation na jaribu kuongea na mtu walahu upate relief

We both go through a lot but we just dont show it. We put smile on our face and pretend everything is fine but deep down in our mind wer know the truth
 
Los

s of interest mkuu
 
Los
s of interest mkuu
Bado upo kwenye awamu za awali za depression.
Tafta mtu unae muamini mueleze yanayo kusibu huenda utapata motivation, safiri ubadili mazingira kwa muda huenda utapata inspiration ya kupambana

Watu wanapitia mengi sema wapo kimya piga moyo konde uendelee kupambana hivyohivyo.

Kuna mtu nimemuona huspitali kapata ajali miguu yote imekatika sehemu ya magoti, aliletwa na wasamalia wema mpka sasa ana mwezi hakuna ndugu alie kuja kumuona. Anajisaidia hapohapo kitandani mpka ma nesi wamebidi wampeleke vyumba vya Isolation. Yupo kwenye depression hata hataki kumeza dawa anaona nora angekufa tu

Lets stay strong and keep pushing through obstacles in life
 
Wakuu sina mengi ya kuandika kabisa ila nahisi naelekea huko kwa wapenzi au wasikikilizaji wa nyimbo ya karubandika ya mtoto wa dandu kama umeisikiliza vizuri ndiyo ambacho nikizingua naenda kukipitia hiko maisha si rahisi kama unavyofikiri ndugu zangu dunia imejaa dhiki na maumivu yasioelezeka na ukiwa na roho nyepesi unaweza kuji hang kabisa.

Afya ya akili ni janga kweli kweli kwa ujinga au kutokujua au kuwafurahisha watu ambao nao hawajali kuhusu wewe au wapo kwa ajili ya maslahi tu aisee moyo wangu umejaa kutu kiukweli leo ngoja nizungumze may be naweza kupata relief unafanya kazi na unapata hela lakini Afya ya akili imenidrive can be depression, stress, anxiety and other oooh God please look at me I'm going to surrender in your world.

After death of my mother kila kitu kilibadilika kwenye maisha yangu it pain alot when I remember my mother nakosa mood ya kuishi kabisa na pia nakosa mood ya kufanya kazi kabisa na sioni furaha ya kazi kiukweli nalipwa mshahara na pia mie ni mfanyakazi wa serikali lakini kuenjoy mshahara na maisha pasipo uwepo wa Mama yangu kwangu maisha, kazi na pesa ni meaningless. I'm struggle depression is real. I'm surrender.🙌🙌🙌🙌
may be she could have been immortal
 
pole sana kwa unayopitia! Kwa nature ya dunia ilivyoumbwa kuna vipindi vya furaha, huzuni, misiba mizito na mastress ya kufa mtu. Tena vinaenda vikibadilishana cha msingi kukumbuka hakuna kati ya hivyo hakitapita.
kumbuka kila unaemuona anapitia changamoto zake kubwa kubwa na ndogondogo na nyingine ziko njiani kuja, Omba na kushukuru Mungu songa mbele hakuna kudeka dunia, dunia haijawahi kumdekeza mtu kuwa jasiri muda wote.

kubwa zaidi epuka vyote vinavyoweza kukuletea uraibu kama vile pombe, umalaya na madawa sivyo utafutika duniani kwamateso makubwa sana.

ukipata nafasi tembelea hospitali yoyote kubwa ambayo unaweza pata huduma ya afya ya akili lakini ujue matibabu yote yataanza na utayari wako wa ndani kubeba changamoto zako.
 
POLE! Nakushauri kwa kuanzia Acha maisha ya kuona vitu vina umuhimu kwA sisi Waislam kitabu chetu kimetuelekeza kumpenda ALLAH Na Mtume vingine vyote ni vitu vya kuvichukulia kawaida hii ikikukaa kichwani ni tiba kwa msongo wa mawazo na matatizo ya Akili hao Wazazi walitumika kama njia ya wewe kuja Hapa Duniani na ndo maana hakuna anaepanga azaliwe na Mzazi wa aina gani na wa nchi gani hivi vitu vya duniani vyote ni FAKE ndo maana kuna kikomo cha kila kitu isipokuwa Mungu yupo milele hata wewe hapo ulipo si lolote na ndio maana ulipatikana kwa njia dhaifu mno ulitokana na Tone la manii ambalo halijai hata kwenye chupa ya Robo lita ya maji kaa chini utafakari kwa kina kuhusu nilichokwambia kama una maswali niulize kama una sheka yoyote niambie kwa msaada wA Allah nitakupatia majawabu.
 
Back
Top Bottom