Nimeuliza AI swali kuhusu treason ikanijibu hivi

Mwisho wa siku tutazitumia hizi AI Modeling languages kama mawakili wetu!
 
Wewe mwenyewe hapo akili huna kubali usikubali umejaa ushabiki ndio maana uelewa uko chini chini. Aya uliza wewe kwa AI harafu tuwekee post hapa. Mbwa wewe!!!!
 
Mwisho wa siku tutazitumia hizi AI Modeling languages kama mawakili wetu!
No, can not be a substitute for human brain, mind. It is a an aide, but core function is vested in the human brain. The AI is fed by human brain and not otherwise!
 
That's the proper position of the law. Lazima kuwe na TENDO. Machawa ukiwaambia hivi utasikia mambo ya October, blah blah
 
Una stress. Hilo swali Lina shida gani? Basi tumwulize wasira
 
Wewe mwenyewe hapo akili huna kubali usikubali umejaa ushabiki ndio maana uelewa uko chini chini. Aya uliza wewe kwa AI harafu tuwekee post hapa. Mbwa wewe!!!!M
Usitukane watu kwa majina ya wanyama; kila mtu anaweza jibu matusi ya hivyo. Lakini sio kila mtu ana nguvu ya kujibizana hivyo.

Mambo mengine muachie muhisika huna ulazima wa kununua ugomvi usiokuhusu hasa Kama unatafuta vita ya matusi,

Vita ya hoja sawa

Yaani unawezaje kumwita mwenzako mbwa, dah
 
Una stress. Hilo swali Lina shida gani? Basi tumwulize wasira
Hata hiyo ‘penal code’ aliyotaja mleta mada ni exact na kipengele cha jamuhuri inayo mshtakia nacho Lissu?

Else get the background of the matter first
 

Hii kesi Lissu akiwa convicted itakuwa ni maajabu ya dunia.

Wangekuwa na akili wangeidrop baada ya lengo lao kutimia na kuibadilisha kuwa ya UCHOCHEZI labda ingemaka sense kidogo.

Sasa ngoja tuone kama Maza ataendelea kutoa maelekezo kutoka kwenye EDA au ni Deo keshapewa maelekezo...!!
 
Tafuta tafsiri zooooote za Al; za kichina, kirusi, kikongo, kilatini, you name it, lakini haitazuia Lissu kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa!
Utakufa wewe kwa kujinyonga mwenyewe...

Na kwa HAKIKA atakufa Samia Suluhu Hassan kwanza kabla ya Tundu Lissu akayeishi miaka mingi ijayo...!!

Kama risasi 16 zilidunda hazikumuua Lissu, kwa akili yako unadhani conspiracy tu ya wahuni na washenzi na kundi la hayawani wachache ndani ya CCM wanaweza vipi kumuua kwa kamba tu?

Trust me and my words, kwamba:

Wauaji wa maelfu wa ndugu zetu 29/10 wataanza kufa wao kabla ya masihi wa Bwana Mh Tundu Lissu hajafa kwa kuwa agano la Mungu Yehova kwake ni kuishi miaka 70 na kama atakuwa na nguvu 80 au zaidi ijayo...!!
 
Taahira mamayako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…