ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Hata mimi mgeni maeneo haya ngoja tusubiri wenyejiVipi wakuu mko poa za toka mwaka jana.
hivi kuna member aliye fariki humu au tupo sote?
vipi mbona unaguna
Vipi wakuu mko poa za toka mwaka jana.
hivi kuna member aliye fariki humu au tupo sote?
Poa mkuu namtaka huyu kijana anae itwa Joseverest huwa ana majibu kamilifu.Nzuri Mkuu!
Ngoja tusubiri majibu kama kuna member ametwaliwa...I hope atatujibu!
Hilo nalo neno mkuuUtajuaje kama kuna member ametwaliwa wakati tunatumia majina bandia
Naam mkuuPoa mkuu @joverest
Nipo around
Poa mkuu namtaka huyu kijana anae itwa Joseverest huwa ana majibu kamilifu.