Nimeumizwa sana sitamani kupenda

usifanye haraka kuwatambulisha kwenu.utatambulisha wangapi?.usijali ipo siku utapenda na utapendwa,zingatia masomo yako.hayo mambo yapo kila siku.
 
fanya mpango wa kucheza gem za mchangani za kutosha
 

kupima kutakutumbukiza shimon, coz unauza mech na dem anauza kwa masela matokeo utayapata! Usipime tena na dem unles unafunga ndoa. ili usimwan utumie condom
 
Hizo nguo za huyo dada choma moto haina haja ya kurudisha kwao, kwanza si muaminifu ingawa ndo tayari ushafall in love kwake. Haina haja ya kuendelea nae sababu ya kutokuwa muaminifu. Fanya kazi kwa bidii, ukifika muda muafaka Mungu atakupa mkeo ambaye mtakuwa mnaendana kitabia na vitu vingine, haina haja ya kulazimisha mapenzi kwa mtu asiyekupenda. Wala hauna gundu lolote, wa kwako yupo ila bado hajatokea.
 
piga moyo konde na ucwe na papara now jali mambo yakp kwanza mademu ckuhiz c wakufikiria sana cz wanaweza kukupa stress ,jali michongo yako kwanza.mademu wa chuo cyo hata mm ilishawa kunitokea bt cz nilikuwa full ma experience ckuhangaika nao cz kinatoka ki2 kinaingia ki2 huo ndyo mpango mzma full maujanja fanja.dnt luv b4 u like
 
acha kazi
 
Polee,mapenzi yalikuwa zamani,soko huria limeharibu kila kitu.
 
You are so naive... nadhani ushauri wa kucheza mechi za ugenini kwa wingi unakufaa, angalau utapata uzoefu juu ya hawa viumbe!
 
Pole kaka, warrrra huna gundu warrrra nini.... ila uchaguzi wako tu, pia na wewe unavowachukulia wachumba zako, sio ukimpata tu unamwonyesha uko weak sana kwake na mpaka kumpeleka kwenu mapema hivo, jiangalie tu mwenyewe na jinsi unavowa treat hao wanawake wako maybe utagundua unakosea wapi
 
Pole kama ila mademu wa siku hizi hawajatulia hususani watoto wa vyuo ndio vicheche kabisa! Nilikuwa na kidemu kimoja cha chuo pale Ustawi wa Jamíi mwisho wa siku nikaja kushtukia anatembea pia na Mjomba wangu! Nakushauri piga sana chandimu/mpra wa mchangani then ukiwa fresh ndio uende next level
 
Achana na hawa mabinti wa vyuo! ni very rare case kumpata aliyetulia wengi wako kutafuta pesa zaidi na si kuishi na mtu kwa kumpenda. Tulia, angalia mtu unayeweza mwenye mawazo ya kiutu uzima pengine naye keshapitia some stages kama zako au yule ambaye yuko tayari kuanza kuishi kwenye ndoa.

Mabinti wa vyuo tena vyuo vikuu hawa ni pasua kichwa, na distant love nayo ni pasua kichwa!
 
Achana nae huyo na hizo nguo zake zitie moto. Pia zingatia mambo mengine yatakayokujenga kimaendeleo achana na mambo ya mapenzi kama wewe sio mzoefu!
 

Kaka. Nikikupa pole haiwezi kukusaidia kwasababu yako ni maradhi ya kujitakia.
 
Acha kutambulisha home mapema mkuu, utapeleka wangapi? Pia punguza sana trust mapema,yaani mtu anagonga field miez miwili tu unamtrust kiasi hicho hadi nguo analeta kwako?acha hizo mkuu, mapenzi yasiku hizi sio ya kukurupuka kiasi hicho unamwagia mtu limoyo lako lote pwaa,eh chukua rimoyo rangu rimekudondokea! Kwa stahili hiyo utalizwa sana.hakuna kitu kigumu kwa sasa kama kumchagua mwenza anayefaaa hivyo acha papara,nenda taratiibu.
 
Jione kama mwenyezi mungu kakuepushia jinamizi katika maisha. Utapata aliye wako wa maisha.
 
Wadau wametoa ushauri,kazi kwako Bishweko bye nyungu kazilo mpola.
 
wewe na mimi 2kiktana 2taenda.mana 2meumizwa sn.nitafte
 
pole sana ila uwe unsali saana kama ww nimuaminiji wa mungu wakati wamtafuta huyo mwandani wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…