Nimeumwa na nge, kuna haja ya kutumia dawa? Naomba msaada wenu

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,654
Reaction score
8,564
Toka ning'atwe nmekuwa na mashaka naweza dhurika
 
ayaaaa....aisee pole sana....nasikia hilo dudu lina sumu....hebu jaribu kucheck na doc....ila hata hapa unaweza saidiwa....vuta subra.....
 
ayaaaa....aisee pole sana....nasikia hilo dudu lina sumu....hebu jaribu kucheck na doc....ila hata hapa unaweza saidiwa....vuta subra.....

haya kaka ndo nasubiri ushauri
 
Niliwahi kung'atwa na nge miaka kadhaa iliyopita, maumivu yake hayakua ya kitoto. Ila yaliisha yenyewe na sikupata tatizo lolote baada.

Kama unaona hali yako sio nzuri masaa baada ya kuumwa fikiria kumuona daktari.
 
hujaumwa na nge wewe, ungeumwa na nge usingekua hapa unadetermine kama ni he au she

unamatatzo ya akili wewe cjakuambia ukomenti wapo wenye busara watanipa ushauri
 
unamatatzo ya akili wewe cjakuambia ukomenti wapo wenye busara watanipa ushauri

dogo una shida kubwa sana, kitu usichotkaa watu wacomment ongea na mamako au shangazi yako kwako, once you go JF, you have gone public and you gonna interact with public... umeumwa na nge unabishana na watu

kama unaona watu wamepiga bati jua kwamba unafuka .... muume basi na wewe huyo nge aje na yeye JF apost kwamba ameumwa na kimavi anataka ushauri.... if you were dead serious you'd be in hospital right now

kakojoe ulalle, Nyambaff wahed
 
Niliwahi kung'atwa na nge miaka kadhaa iliyopita, maumivu yake hayakua ya kitoto. Ila yaliisha yenyewe na sikupata tatizo lolote baada.

Kama unaona hali yako sio nzuri masaa baada ya kuumwa fikiria kumuona daktari.

thanx u nmekuelewa
 
hujaumwa na nge wewe, ungeumwa na nge usingekua hapa unadetermine kama ni he au she

Ni kweli mkuu nami nakuunga mkono huyo kaumwa na nge, kwanza hata cm asingeinua ilipo angekuwa anapiga mayowe unachezea nge wewe! Me nishawahi kuumwa na huyo mdudu ni balaa maumivu yake yan sijui niyalinganishe na nn ni makali hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…