Kufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10
Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4.
Nilifanya biashara alafu nikaendelea na kazi nyingine. Huwa siweki SL.
Sihesabu kama hasara Bali nahesabu kama gharama za kufanya forex. Ahsanteni sana
Mkuu Ulikubwa na Psychology of Trading and Overtrading auKufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10
Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4.
Nilifanya biashara alafu nikaendelea na kazi nyingine. Huwa siweki SL.
Sihesabu kama hasara Bali nahesabu kama gharama za kufanya forex. Ahsanteni sana
Najua EURUSD imekutenda, pole sana mdau!!Kufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10
Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4.
Nilifanya biashara alafu nikaendelea na kazi nyingine. Huwa siweki SL.
Sihesabu kama hasara Bali nahesabu kama gharama za kufanya forex. Ahsanteni sana
😀😀😀Mpaka sasa inapanda kwa kasi kama kifaru aliyeibiwa mtoto wake...
Nna uhakika none of them, jamaa alikua na overconfidence i guess... Aki hope wenda trend inge reverse!!Mkuu Ulikubwa na Psychology of Trading and Overtrading au
hii biashara ya kutegeme upepo wa yanayo endelea duniani hii!!Najua EURUSD imekutenda, pole sana mdau!!
Kumbuka jana rais wa benki ya euope mario draghi alikua natoa speech baada ya hiyo speech EURO imekua moto sana!!
Mpaka sasa inapanda kwa kasi kama kifaru aliyeibiwa mtoto wake...
Ndio maisha yetu haya... Usipounguza account jua bado hujajua forex...
Acha kabisa mkuu... Kuna siku kiduku alivurumisha kombora kwenye anga la japan pesa ya japan ikapanda kama inakimbizwa huku dola ikishuka kama jiwe limerusha kutoka juu ya mti[emoji23][emoji23][emoji23]!! Hapo sijaweka impacts za trump kwenye tax reforms...hii biashara ya kutegeme upepo wa yanayo endelea duniani hii!!
mtu akikohoa kwenye tweeter watu wanaunguza account mmmh,! kila la kheri ndugu zangu ktk kutake risks
Mtu akikohoa kwenye tweeter watu wanaunguza account!!!hii biashara ya kutegeme upepo wa yanayo endelea duniani hii!!
mtu akikohoa kwenye tweeter watu wanaunguza account mmmh,! kila la kheri ndugu zangu ktk kutake risks
Aisee!!Mtu akikohoa kwenye tweeter watu wanaunguza account!!!