Nimeuziwa lipstic fake

Curious gal

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
3,200
Reaction score
4,008
Mamboz,

Mimi ni mpenzi sana wa matte liquid lipsticks na kuna duka linajulikana sana ndo huwa nanunua hapo

Week iliyopita nilitoka kununua hizo lipsticks na sikuzitumia, sasa leo nikachukua moja nianze kutumia nikaona ina utofauti nikasema labda hisia zangu nimetoka for lunch namaliza kula naona lipstick imetoka khaaa na sio kawaida nikasema ngoja niangalie vizuri nakuja kugundua ni fake.

Kwa kweli roho imeniuma isitoshe huyo mtu hajawahi kuleta vitu fake nikasema haina shida nitanunua zingine but najiuliza huyu mtu kafanya makusudi kuleta sasa hivi lipsticks hizi fake au hajui? Maana sio kawaida yake.
 
Pole mpendwa.

Ilimradi haijakudhuru basi heri
 
ohoo zinaharibugi mfumo wa hedthi hizo. leo majira ya saa kumi na moja utapata siku zako
 
Habar zako dada nichek kwa lipstick original njoo pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…