FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kuwasaidia.hivi haya mataifa yanayojiita donor countries, huwa wanatupa hii misaada kwa misingi na madhumuni yapi hasa?
Ili wahakikishe misaada yao inatumika ipasavyo.kwanini wanapotupa misaada huwa tunasainishana mikataba ya msaada?
Ni msaada ambao unakuwa umewekewa mazingira ya kutumika ipasavyo.hivi huo ni msaada au tunawauzia kitu hadi tusainishane? Whats happening??!!!
Kwanini wasiwasaidie kwanza watu wanaolala nje na kufa njaa nchini mwao?, na kwanini wasitufutie madeni badala ya kutupa misaada? makes more sense?Kuwasaidia.
Kutoa msaada kwa mwingine haimaanishi wewe hauna uhitaji wa huo msaada.Kwanini wasiwasaidie kwanza watu wanaolala nje na kufa njaa nchini mwao?, na kwanini wasitufutie madeni badala ya kutupa misaada? makes more sense?
Nakusaidia lakini unirudishie..!
nadhani mtoa mada amekusoma vyemaUrudishe na faida, siyo kile nikichokupa tu.
Haswa. Unapobanwa na shida na ukaenda kumlilia jirani akukopeshe kile kitendo tu cha yeye kukubali kukukopesha bila kujali kama utarudisha na riba juu au bila riba tayari ni msaada kwako. Kwa hiyo wewe mkopaji unaweza kujidai kuwatangazia wanafamilia yako kwamba jirani yako fulani kakupatia "msaada" na ukaepuka kutumia neno "mkopo" ili wanafamilia wasihoji zaidi kuhusu masharti ya mkopo huo na wamwone huyo jirani kwamba ndiye rafiki wa kweli.Urudishe na faida, siyo kile nikichokupa tu.
Sasa ipi mantiki ya kumpa mtu msaada wa shs. 100/= huku unambana akulipe deni lako la shs. 5,000/=? badala ya kumpa msaada si umfutie / umpunguzie deni?Kutoa msaada kwa mwingine haimaanishi wewe hauna uhitaji wa huo msaada.
πππππππUnaweza kumlisha mchepuko chips kuku huku wanao na mkeo wanalala njaa/kula ugali chumvi..kuna kitu utakuwa umekilenga kwa mchepuko na sio kwamba unampa fervor pekee[emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha, hii mifano ni hai kabisa. Unamlisha Mwajei chips kuku na pepsi ya baridiii, kumbe home wanashindia ugali tembele. Huyo Mwajei lazima kuna malipo atakupa, atake asitake. Huenda Dona kantriz nao wapo kama sisi.Mara nyingi misaada yao hua haina tofauti na ile tunayo wasaidia kina Mwajuma kwa kuwanunulia chipsi kuku au nyama choma pamoja na fanta baridi.
Sent from my DUB-LX1 using Tapatalk
Kwahiyo sisi Tz ni kama mchepuko anaelishwa burger na pizza huku nyumbani kwao wanashindia ugali tembele, ila baadae mchepuko kuna cha moto anakipata.., sivyo?Unaweza kumlisha mchepuko chips kuku huku wanao na mkeo wanalala njaa/kula ugali chumvi..kuna kitu utakuwa umekilenga kwa mchepuko na sio kwamba unampa fervor pekee[emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app