Nimevunja ukimya lakini hola!

Hakupendi huyo kabisaa. Angalia ustaarabu mwingine ndugu.


Ni kweli, kwa mwaname huwa wa kwanza kumpenda msichana, Hivyo naonekana hakupendi au IS A GAY achana naye tafuta mwingine najua utampata
 
inawezekana hana hisia za mapenzi kwako. Au ana mtu wake tayari kashindwa kukwambia. Kwa ufupi hampo kwenye mstari mmoja. Tafuta ustaarabu mwengine
 
Mrembo ! Kata pua uunge wajihi ! Hivi wajua Jongoo pamoja na wingi wa miguu yake lakini HAONI ! Na huyo Mwalimu pamoja na upole na ukarimu wake nawe kumuonesha umuonyeshayo lakini hana tofauti na Jongoo! Kama mtu demand yako ya maziwa ni 5 kwa siku, na unaweza kuya'afford kuyanunua haina faida ya kufuga Ng'ombe! Disturbus ni nyingi ujenge zizi, ukakate majani, ukamnyweshe maji, usafi wa zizi , maana yangu kuna membar keshakuomba um'PM akuondolee tatizo.
 
1. Kama hujawahi shukuru na usijaribu
2. Siku 5 ni kidogo lakini endelea kuuchuna na ikiwezekana usimpigie tena kabisa.
Na akipiga usimwoneshe tena kuwa unampenda. Kwa ufupi, huyo si wako.

3. Bora kuumia na kuuguza sasa kuliko kujakutibu hapo baadae
4. Sidhani kama unamsumbua kwani yeye haoneshi kusumbuka.
 
Naongelea purchasing power. Ukijiingiza kwenye mapenzi ya biashara, the one who pays gets the last say! Kama hajalipia hiyo vekesheni na hana mood ya vekesheni na wewe uko busy unawinda vocha,what do u expect? U dance to his tunes!
Una maana gani!
Kwamba msichana hana maslahi yoyote katika vekesheni ya B'Moyo?
Au wakiamua kufanya penzi huko maporini, mwanaume anakuwa kwenye position ya command, hivyo anafaidi zaidi?
Msaada!
 
Both the customers and producers determines the equilibrium point of demand and supply.
No wonder hua hawatulii.Mapenzi yamewajaa mifukoni mpaka yanalemea inabidi watafute sehemu nyingine za kupunguzia.
 
Tatizo lako unakosa ujasiri, ameonesha kutokukupenda kabisa.......chapa lapa dada'ngu lasivyo unajiibia wewe mwenyewe fikra zako!!!
 
Hilo nalo neno PJ.
Mrembo, huyo jamaa ungekubali tu hali. Manake huko mbeleni atakuja kukutesa manake wewe sio chaguo lake. Dawa chungu pia inaponyesha. Get a life, keep busy na tafuta hobby mpya. Asikufungie baraka za mbinguni!


[
 
Last edited by a moderator:


Hana mke wa la mtoto wa kusingiziwa
 
Yaani mimi sijui nikoje! mwanamke ukinfuata fuata hivyo ndo mawazo yanapotea kabisa. Mwanamke anayenikataa mimi ndo nampenda


Hivi kaka mbona mnatunyanyasa sana tukitoa dukuduku zetu moyoni kwani sisi waawake hatuna haki ya kuonesha hisia zetu. Kwwenu ninyi mdada ukimfatilia sana akawa anakukataa ndo unataka huyo huyo mbona sisi tukifatia ndo wasema mawwazo yanapotea. Mie namtaka huyo huyo
 
Umshukuru sana huyo mwalimu wako. Mwanaume mwingine angeweza kukuchakachua halafu akakuachilia mbali. Huyo ni mstaarabu sana, maana ya yeye kuwa mzito ni kuwa ama ana familia au ana commitment nyingine na hapendi kuchanganya madawa.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…