Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Poleee aseee huo ni upande Gan wa mkono? Upande wa mbelee au nyumaa kwenye kiwiko? Watoka povu utaskia kulia au kushoto
wa kulia mkuuPoleee aseee huo ni upande Gan wa mkono? Upande wa mbelee au nyumaa kwenye kiwiko? Watoka povu utaskia kulia au kushoto
Mmh pole sana
asante sana mkuuHospital hizi za Tanzania ni majanga majanga!! Mchawi ni hela tu! Kuna Hospital flani ipo nchini Kenya ni hospitali ya kawaida sana na matibabu yake ni nafuu! Kama ungeenda hapo wala usingekuja kuuliza huku!! Wala usingewekewa hayo machuma!!
Ukitaka mfupa uunge haraka kula Asali!! Kuna rafiki yangu alivunjika mguu daktari wakawa wanamwambia awe anakula asali! Asali ina lainisha mifupa na itakuwa raisi sana kuungana haraka!!
mwenyewe najipaka paka tupole sana nani anakuogesha jamani ?