Multpurpose
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 123
- 78
Nimewahi kuutengeneza ila changamoto ya moshi ikanikatisha tamaa. Kumbe gundi pia inatumika! Kuna kipimo???Niliwahi kuujaribu mwaka 2010 kama sikosei,
Changamoto yake ya kwanza ulikuwa unatoa moshi sana ...
Nikasoma tena nikagundua kuwa sikuyeyusha karatasi wasasawa na sikutumia gundi kwa ajili ya kugundisha ...
Nilipotumia gundi, mkaa ulikuwa mzuri tu ila sasa changamoto ikawa ni upatikanaji wa karatasi.
Haya unapaswa kuyafanya ukiwa na muda wa kutosha!
Ushauli mzuri - aende darasani kwanza .Kuna jamaa anatangaza ktk redio kuwa anatoa hiyo kozi. Yupo tiptop eneo la shule ya georgous
Yes gundi inatumika kuhakikisha wakati unaunda hakuna hewa inabaki ndani ya mkaa. Kirumba kuna jaama ana mashine kwa ajili ya kufanya compaction.Nimewahi kuutengeneza ila changamoto ya moshi ikanikatisha tamaa. Kumbe gundi pia inatumika! Kuna kipimo???
Unatengenezwaje huo mkaaNimewahi kuutengeneza ila changamoto ya moshi ikanikatisha tamaa. Kumbe gundi pia inatumika! Kuna kipimo???
Tuelezeni na sisi mkuuNiliwahi kuujaribu mwaka 2010 kama sikosei,