ivi unachotafuta kwa mwanamke ni elimu au mapenzi ya dhati?Yaani nimemtembelea rafiki yangu leo hom kwake kwa ishu za kimikakati. Sasa nikiwa pale nikamwona binti wa kazi. Aisee yuko mzuri. Sasa roho ya kumpenda (sijui kumtamani) ikaniingia. Mie bachela. Kila akipita namcheki kwa umakini na tathmini. Hana maringo, hajishaui. Uzalendo ukanishinda nikamjulisha mwenyeji kuwa nataka kumsoma akili huyu binti kupima ufahamu wake ili ikiwezekana awe mwandani. Jamaa akaniambia kama ni kwa wema utazungumza nae. Mtoto wa kisukuma, mrefu hivi. Maji ya kunde. Anavutia. Ni type ninayotaka. Nikawa najiuliza moyoni, je namhitaji? Elimu yake haitanipa mushkeli? Japo nimewazia kumuendeleza iwapo uzalendo utanishinda. Mi nina shahada. Napanga kumwambia jamaa amweleze ili nipate wasaa nae wa kutosha jmosi (si kingono) kumsoma na kuona upeo wake wa ufahamu na kama anaendelezeka maana siwezi kuwa nae kwa elimu yake. Nafsi nyingine inaniambia nipotezee tu na kumtafuta wa class yangu. Wenye maujuzi na mawazo kuhusu hili uwanja ni wenu
Yaani nimemtembelea rafiki yangu leo hom kwake kwa ishu za kimikakati. Sasa nikiwa pale nikamwona binti wa kazi. Aisee yuko mzuri. Sasa roho ya kumpenda (sijui kumtamani) ikaniingia. Mie bachela. Kila akipita namcheki kwa umakini na tathmini. Hana maringo, hajishaui. Uzalendo ukanishinda nikamjulisha mwenyeji kuwa nataka kumsoma akili huyu binti kupima ufahamu wake ili ikiwezekana awe mwandani. Jamaa akaniambia kama ni kwa wema utazungumza nae. Mtoto wa kisukuma, mrefu hivi. Maji ya kunde. Anavutia. Ni type ninayotaka. Nikawa najiuliza moyoni, je namhitaji? Elimu yake haitanipa mushkeli? Japo nimewazia kumuendeleza iwapo uzalendo utanishinda. Mi nina shahada. Napanga kumwambia jamaa amweleze ili nipate wasaa nae wa kutosha jmosi (si kingono) kumsoma na kuona upeo wake wa ufahamu na kama anaendelezeka maana siwezi kuwa nae kwa elimu yake. Nafsi nyingine inaniambia nipotezee tu na kumtafuta wa class yangu. Wenye maujuzi na mawazo kuhusu hili uwanja ni wenu
Yaani nimemtembelea rafiki yangu leo hom kwake kwa ishu za kimikakati. Sasa nikiwa pale nikamwona binti wa kazi. Aisee yuko mzuri. Sasa roho ya kumpenda (sijui kumtamani) ikaniingia. Mie bachela. Kila akipita namcheki kwa umakini na tathmini. Hana maringo, hajishaui. Uzalendo ukanishinda nikamjulisha mwenyeji kuwa nataka kumsoma akili huyu binti kupima ufahamu wake ili ikiwezekana awe mwandani. Jamaa akaniambia kama ni kwa wema utazungumza nae. Mtoto wa kisukuma, mrefu hivi. Maji ya kunde. Anavutia. Ni type ninayotaka. Nikawa najiuliza moyoni, je namhitaji? Elimu yake haitanipa mushkeli? Japo nimewazia kumuendeleza iwapo uzalendo utanishinda. Mi nina shahada. Napanga kumwambia jamaa amweleze ili nipate wasaa nae wa kutosha jmosi (si kingono) kumsoma na kuona upeo wake wa ufahamu na kama anaendelezeka maana siwezi kuwa nae kwa elimu yake.
..precaution sir. dumisha mkataba wa haki za binadamu uliosainiwa kati ya serikali na jumuiya ya kimataifa.Nafsi nyingine inaniambia nipotezee tu na kumtafuta wa class yangu. Wenye maujuzi na mawazo kuhusu hili uwanja ni wenu
Sisi hatuwezi kukushauri la maana kwa sababu taarifa zako hatuna ila umetupa za huyo binti tu........Acha uchoyo tuelezee zaidi.. una miaka mingapi na huyo binti ana umri gani. Wewe umekulia wapi...............na dini zenu zinasemaje.............hayo ni maswali mepesi lakini huwezi kujua........Wazazi wa pande mbili watayaona haya maswali nyeti sana.............Halafu kosa kubwa unafikiri ni wewe tu mwenye uamuzi unajuaje yeye anafikiria nini?
Au unafikiri kwa kuwa ni "Housegirl" basi atabebwa na yeyote mwenye ujasiri wa kusema "I love you?'
Be serious than that my friend and show some maturity.........Best wishes, all the same.................
Kiukweli wadau nimewasoma mmoja baada ya mwingine na wakati mwingine si rahisi kureply every post. Nimelichakachua hili jambo wee. Pia tumeongea kirefu na jamaa kumhusu binti. Tatizo wako mbali kidogo na kumwona binti hadi nifuate some formal channels. Yaani jamaa aongee na waif wake then wife amweleze binti kwa vile wamezoeana. Wife akontakt nami pale ambapo ningehitaji kumwona. Si binti wa kuzurura kwa mujibu wa jamaa. Sasa nifuate hizo chanels then baadae kisieleweke...
..hapo kwenye bold ushanipa shaka. mimi mtokeaji mzoefu nakusoma kwamba unahitaji kumwona na kumchakachua mwenyewe kwa muda wako... kubaliana na ushauri wa baba wa binti (mdingi wa hausi) kisha mambo yatakuwa swaafi. la sivyo weye wamtaka huyo binti kwa usiku mmoja kisha baadaye utakuwa unaonana naye kila unapomtakaBora ningekuwa namwona kwa muda wangu. Kwa michango yenu inabidi nipate muda na kuchekecha kidogo. Pia ni rahisi kutoa ushauri kuliko kuutekeleza. Ngoja nifikiri
Moyo ukuongoze achana na akili maana utapotea na kumkosa mtoto jumla.I wish ingetokea tu natural disaster na mara nikawa nae. Tatizo sijui ni wakati gani wa kusikiliza moyo au akili yangu