Nimevutiwa na house girl


nami nahofia hayo mkuu. Tatizo informal channels ni imposibo. Ni bora pia wangekuwa majirani
 
Mahause geli ni wife material asikuambie mtu. kwanza wanajua kupika, kuweka nyumba safi nk.

kazi ni kumsihi awe sopusopu tu zaidi.
 
nami nahofia hayo mkuu. Tatizo informal channels ni imposibo...Ni bora pia wangekuwa majirani

...Distance is not a barrier. Ndugu yangu Wallet, show your love with sacrifices kama kweli unampenda as described. Nothing is impossible with love.
 
nitawajulisha zaidi wadau jinsi muda unavyoenda
 

...mapenzi sawa na majani, huoteshwa popote.
'zuka nae tu, mwana wa mwenzio kizushi!'
 


nenda ukaombewe ukianza hao hata umuoe utavuta hgirl wa ndani,,,na kama ukiondoka hiyo ni kizazi mpaka kizazi omba sana mkuu u jacehelewa
 


inaonekana wewe ndio yule fataki tunayemuonaga kwenye mitivii
 
KakaJambazi

Wee acha tu kuna jamaa yangu mmoja yalimkuta haya majaribu, mke wake alikuwa naye anafanya kazi sasa njemba ikirudi kutoka kazini mama anamtazama tu. Sasa house girl anakuja baba maji ya kuoga tayari na taulo kmletea, kabla hajanyanyuka au baba upate baridi moja kwanza? basi jamaa anaenda kuoga anarudi, baba chakula tayari, karibu mezani. Looh jamaa mwishoe akasema jamani huyu si ndo mke? sasa huyu mke wangu yaani hata kunijali haonyeshi, si jamaa uzalendo ukaanza kumshinda?

Jamaa akaanza kutafuna taratibu na kufuta mdomo kabisa asijulikane supu analamba wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…