Hello guys..
party rock anthem ni wimbo uloimbwa na kundi la lmfao, uli-hit sana zile enzi za 2011, cjui sahiv hawa jamaa wako wap, kila nkiusikilizaga ule wimbo huwa natamani ku-dance
wana wimbo wao mwingine unaitwa champagne showers, ni mzur pia
Watu wana vipaji aise