Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wewe unayetumia akili Kila siku Mwigulu anakulimbikizia mzigo wa tozo na umetulia tu huna wasiwasi kabisa.Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.
Kwanini wanaharibu miundombinu.
Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.
Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.
Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.
What comes around goes around. Nchi za Afrika zinatakiwa kujua kuwa mwisho wa viongozi kuongoza kwa kufanya usanii ulishapitwa na wakati siku nyingi. Hii habari ya Kenya ni zaidi ya huo mswada, na tatizo limeanza kujijenga siku nyingi hatua kwa hatua. Siku huu ''mlipuko'' utakapofika Tanzania kila mtu atashanga na hataamini. Si sasa hivi wanachukuwa mpaka wasanii na kusafiri nao ili wawapigie debe? Basi debe lina mwisho wake na kuna siku vijana hawatasikia ombi lolote. Ndiyo maana watu wenye akili wanataka mambo yabadilike kabla huo muda haujafika kwani ukishafika ni vigumu kweli kweli kubadilisha tena. Kna wajinga wajinga wanajiona kwa sababu wana kazi au biashara na maisha mazuri basi mambo ya kupigania mabadiliko hayawahusu, lakini kumbuka: Mtego wa panya huingia waliomo na wasiokuwemo. Likifika la kufika hata wewe unayekejeli hapa kila siku hutapona.Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.
Kwanini wanaharibu miundombinu.
Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.
Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.
Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.
Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.
Kwanini wanaharibu miundombinu.
Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.
Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.
Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.
Tuna kila sababu ya kuwa na hofu na kuwa macho na zaidi kujifunza. Sisi siyo kisiwa kijamii useme kuwa haiwezi kufika kwetuTuwaache na uhuru wao ktk Ardhi yao!
Kuingilia maswala ya ndani ya nchi nyingine sio sawa
Wewe una akili gani?. Unahangaika na mambo ya wengine wakati wewe ni mpumbavu na chawa wa CCM. Hao unao waita hawana akili wametafsiri Finance Bill kwa Lugha 20 za makabila mbalimbali ya Kenya ili watu wajue hiyo bill kwa undani, wewe chawa hata ukiulizwa ukurasa wa tatu wa Finance bill ya Tanzania inasemaje hujui. Punguza unafiki na kimbelembele. Kama unapenda uchawa Baki nao bongo usipeleke kwenye nchi za watu.Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.
Kwanini wanaharibu miundombinu.
Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.
Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.
Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.
Kwanini tusiamini kwamba wewe ndiye usiye na akili Kwa sababu hujui kama waandamanaji Wana akili?Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.
Kwanini wanaharibu miundombinu.
Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.
Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.
Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.
HakikaWewe una akili gani?. Unahangaika na mambo ya wengine wakati wewe ni mpumbavu na chawa wa CCM. Hao unao waita hawana akili wametafsiri Finance Bill kwa Lugha 20 za makabila mbalimbali ya Kenya ili watu wajue hiyo bill kwa undani, wewe chawa hata ukiulizwa ukurasa wa tatu wa Finance bill ya Tanzania inasemaje hujui. Punguza unafiki na kimbelembele. Kama unapenda uchawa Baki nao bongo usipeleke kwenye nchi za watu.
Gen Z ilianzishwa au ni generation ya watu fulani....,, Kizazi kilichozaliwa katika information age..., kama wewe kizazi ambacho kilizaliwa zama za ubaharia na kuzamia meli au zama za kale au zama za mawe.... au hata millennials...tumechoka hio GEN Z, sasa ni too much. Hata uko ilipoanzishwa haijawahi tumika kihasi hiki, this time naungana na Kiranga
Unachanganya mambo, GEN Z nikitu kilichoanzishwa nazungumzia hio CONCEPT watu wamekaa chini wakaamua waite hayo majina hiko ndio nazungumzia.Gen Z ilianzishwa au ni generation ya watu fulani....,, Kizazi kilichozaliwa katika information age..., kama wewe kizazi ambacho kilizaliwa zama za ubaharia na kuzamia meli au zama za kale au zama za mawe.... au hata millennials...
Kizazi hiki kina perspective zao tofauti na wewe ila ukweli unabakia with information age na ukosefu wa ajira zenye ujira wa kutosha haya mambo hata ukiyazima yatakuja tena kama sio Gen Z basi itakuwa Generation Alpha....
Naunga mkono hojaHivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.
Kwanini wanaharibu miundombinu.
Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.
Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.
Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.
Mazee wanachana na sisi, wewe Baki na maza chura ya huko tzHivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.
Kwanini wanaharibu miundombinu.
Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.
Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.
Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.
Wewe ni mkenya mpaka uwasemee , wanazo sababu za msingi wanazozijua wao , so ya Wakaenya waachie waoHivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.
Kwanini wanaharibu miundombinu.
Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.
Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana.
Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana.
kwa hiyo ulitaka achome maduka?Wewe unayetumia akili Kila siku Mwigulu anakulimbikizia mzigo wa tozo na umetulia tu huna wasiwasi kabisa.