Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini cha ajabu mechi za kimataifa raundi ya kwanza tu chali, hakuna timu hapo
Simba akishinda kahonga, akifungwa je? au ndo anakuwa ameishiwa pesa ya kuhonga!
Hongeni na nyie kama hela zinacheza uwanjani
Ndo kawaida yetu. Hata jana tulimhonga Lamine Moro ili ajifunge. Na bado tunataka tutoe mtonyo mwingine kwa Ally Sonso na Ally Ally ili waendeleze tena kumtungua Metacha, na kisha tutamgeukia Yondani ili siku ya Kariakoo Darby ijayo ampasie Hassan Dilunga maana naye amekuwa mzuri katika kuwapa pasi za magoli maadui.
Hao uliowataja ni marefa?Ndo kawaida yetu. Hata jana tulimhonga Lamine Moro ili ajifunge. Na bado tunataka tutoe mtonyo mwingine kwa Ally Sonso na Ally Ally ili waendeleze tena kumtungua Metacha, na kisha tutamgeukia Yondani ili siku ya Kariakoo Darby ijayo ampasie Hassan Dilunga maana naye amekuwa mzuri katika kuwapa pasi za magoli maadui.