Nimewaelewa vizuri sana fans wa simba, hawapendi kufungwa au kutoa sare

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Sio kua hawajui kuna kupoteza mechi, bt hawaitaki hali hiyo coz wanaithamini club yao na hawataki iwe mazoea ndo maana wanaripuka sana ikipoteza/kutoa sare...

kwa hili nawapongeza coz wanaonesha uzalendo wapekee sana kwa timu yao.
 
Kuna kufungwa ila unaona jinsi wachezaji walivyojituma,hapo huwezi kulaumu mtu

Tuna timu ulaya unaona wanacheza vzr ijapo wanafungwa unakuwa na matumaini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi ni timu gani Tanzania viongozi wake walifungiwa maisha kwa kutaka kuhonga waamuzi kwenye mashindano ya CAF kama si yanga lakini kila siku wanaisingizia Simba bila kutoa ushahidi
 
Huko nikutokujua mpira kama unadhani kila siku utashinda tu na ndiyo tafsiri halisi aliyoisema Rage yakuwa mashabiki wengi ni wa Simba ni mbumbumbu.........
 
Mashabiki wengi waelewa wa Simba walikuwa wanalalamika kiwango cha Simba na wala sio kufungwa. Ukiaangalia vizuri malalamiko mengi yalianzia toka mechi na Mwadui yakaendelea kwenye mechi na Namungo na Polisi japo timu ilishinda kiajabu ajabu lakini ilicheza hovyo sana. Malalamiko yalizidi baada ya kufungwa na JKT.

Timu ikifungwa lakini ikacheza vizuri malalamiko yanakuwa kidogo sana hasa kwa wale wapenda mpira lakini wasiouelewa mpira una matokeo matatu.
 
Hata viongozi wenu pia ndio maana mnahonga marefa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kawaida yetu. Hata jana tulimhonga Lamine Moro ili ajifunge. Na bado tunataka tutoe mtonyo mwingine kwa Ally Sonso na Ally Ally ili waendeleze tena kumtungua Metacha, na kisha tutamgeukia Yondani ili siku ya Kariakoo Darby ijayo ampasie Hassan Dilunga maana naye amekuwa mzuri katika kuwapa pasi za magoli maadui.
 
Hao uliowataja ni marefa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…