nimewahi kufundisha 'man u',real madrid na bayern munich

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
si maneno yangu bali ni ya kocha mmoja mzalendo alipokuwa akihojiwa na kituo fulani cha redio akitakiwa aeleze historia yake ya ukocha.ndipo akasema kuwa kazi hiyo ameianza siku nyingi,na miongoni mwa timu alizofundisha ni man u' bayern munich' na real madrid zote za manzese uzuri.mtangazaji akabaki hoi
 
Hahahaha dah nimecheka sanaaa mpaka ni.meja.mba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…