Nimewakumbuka Washirika wa Geita Sec. !987 - 1990

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
9,314
Reaction score
7,149
Jamani mko wapi ndugu zangu tuliokuwa pamoja pale Geita Sec. enzi za Mkuu Sosthenes Ngussa na kufuatiwa na Ndugu Shima (Nimemsahau jina lake la Kwanza). Je! Mnamkumbuka Mwl. Kikome? Tujuliane hali wakuu!!!
 
tupo kwani vipi?
 
Back
Top Bottom