Nimewamiss hawa watu Jamani

and she has to understand that,,though busy but ur thinking of her,,n the more u miss her is the morelikely to love her n vice versa..........
The Following User Says Thank You to WiseLady For This Useful Post:

The Finest (Today)

NASHUKURU HUWA UNAJALI MASLAHI YANGU HASA KWA KUNIANGALIZIA MAUA YANGU
 
hahaha,,swithat hebu ngoja nicheck nitakusemesha,,haka kafainesti kameongea wapi point?huwa kako vzr kakiwa hakajachakachuliwa

Kuna sehemu kameanzisha thread ya kuwa ni ushauri tu: u either uchukue au uache
 
wacha nikachukue au niache,,,,,babu kaja na style ya ububu,,lol

Nenda kaone mambo huko.

Babu achana nae mzushi tu wiki hii kwake ina mushikeli maana juzi hasira tele leo bubu mmmhhh mie hata kumsemesha naogopa mwenzio
 
Nipo honey, I am always here for you
unajua mimi na wewe tunapenda sana
ila utanisamehe dear turudi kule kwenye ile thread yako
ili tuongee zaidi maana kwa kiasi fulani sikubaliani na wewe....
ni asilimia ndogo na..

ntajaribu kuchunga maneno ili tusigombane
maana leo tunaenda vizuri lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…