Nimewamiss hawa watu Jamani

Missed you too dear!Hope umerudi na mambo moto moto!
 
Hello Dena Amsi ''Dore awang'' karibu sana nasi pia tumekumis sana mama habari za utokapo wazee wazima wazima lakini?
 

Mi sijakumiss
 
Missed you too honey...Ulinambiaga ulikuwa nchi gani vile?...What a sweet reunification with a loved one!...karibu jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…