yes Masai Dada nae!masai dada sijui nae kapotelea wapi aseeh
wataskia wote watakuja!I don't know where are they. I wish them to come back here jeiefoooooo.
Ila nahisi ana extended bansyes Masai Dada nae!
Hata mm wakati wwte naweza kutokomea. Kuna umri ukifika unabid uwaachie wadogo zako. Sio baba yupo Jf na mtoto pia yupo jf. Sio vizuri.
Muda ukifika, sitajishughulisha na mtandao wwte wa kijamii.
Hata wewe Kuna kipindi ulipotea hasa kule kwenye jukwaa letumi pia hadi nawawazaga
Kiongozi, kwani age imeshaenda sana kwa sasa? Mwenyewe nilishasema kuna umri nikifika naachana na MMU.Hata mm wakati wwte naweza kutokomea. Kuna umri ukifika unabid uwaachie wadogo zako. Sio baba yupo Jf na mtoto pia yupo jf. Sio vizuri.
Muda ukifika, sitajishughulisha na mtandao wwte wa kijamii.
Amina, ujumbe wake umenigusa pia.Huu ujumbe unatia huruma sana.
Nimefikiria mengi sana baada ya kuusoma.
Naomba Mungu akubariki Gregoire's na kukuongezea miaka yenye heri duniani.
Amina
Mtani, mimi nafikiri umri wangu tayari umeshafika.Kiongozi, kwani age imeshaenda sana kwa sasa? Mwenyewe nilishasema kuna umri nikifika naachana na MMU.
We hauna majukumu?Wamepata majukumu
Utashinda mmu utakula nyasi awamu hii ya 5Wamepata majukumu
Mnooooo!! Full tafranijukwaa limepoa!
Yaah!niliadimika kweli kama miezi 8 hivi!Hata wewe Kuna kipindi ulipotea hasa kule kwenye jukwaa letu