wafanye warudi!Mnooooo!! Full tafrani
Kwakweli maana kumepooza hats raha hakuna tena.wafanye warudi!
Ms.Lincoln amerudi nimemuona Kule celebrity forum!Kwakweli maana kumepooza hats raha hakuna tena.
@ms.lincolin nae jiiiiiiii!!
na wewe umejificha wapi siku hizi lol.
Nimekuona nikasikia hali ya kukumiss upo jamani?Mpenzi wangu...nimekumiss sana
Nimekuona nikasikia hali ya kukumiss upo jamani?
Ziko poa kabisa.Na karibu sanaNipo my dear...habari ya siku nyingi
Nakumiss pia hasa na huu ukimya
Ziko poa kabisa.Na karibu sana
Hata mimi nimekumissZiko poa kabisa.Na karibu sana
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]H
Hawa wote wameondolewa kwenye University Offer , wanaishi kama mashetani lol!!
Miss you more atotoHata mimi nimekumiss
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ukiondoka utaniacha na nani, nisubiri kidogo tutaondoka wote, kule siasani, habari mchanganyiko tutahamia. Tutatia timu MMU mara moja moja, subiri kidogo 'mtani darling'..teh!Mtani, mimi nafikiri umri wangu tayari umeshafika.
Niwaachie ninyi mjifarague kwa raha zenu.
Ni zaidi ya kiuno nahisi nakuwa adimu kama mimba ya nyokaUkiamuaga kupotea nawewe unapotea kama kiuno cha nyoka.
[emoji24] [emoji24] [emoji40] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji2] [emoji2]
Eti Kalumanzila katika mihangaiko yako hukuwahi kukutana na nyoka mwenye mimba?[emoji24] [emoji24] [emoji40] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji2] [emoji2]