karibu sana
nawe tuli ku miss
leo ni thanksgiving day ni siku nzuri ya kushukuru uzima wako
Jamani nilikumic vibaya sana kuanzia wewe mwenyewe mpaka hekima zako,tunashukuru umerudi jamvini pole na maswahiba yaliyokukumba.Bandungu wapendwa,
Nimewamiss sana ndugu zangu nyooote wa JF...
Babu yenu nilipigwa lokapu kwa karibia wiki nzima. Ni ngumu kueleza yaliyonikuta ila jueni tu kuwa niko mzima!
Hebu nambieni jamani...nani kawaona wajukuu zangu akina Maty, Musinga, Smile; Teamo na Rose hao nimeshawamuona.
Na hawa je?....Nyamaya,Asprin, PJ, Askofu, Rev. Masa, Bht, JS, MJ1, FL1, Baba_Enock, Invisible, Finest, etc,
Tafadhali wambie wote kuwa nawakumbuka sana na pia nawapenda sana.
Mungu awabariki sana, muwe na week end njema tena ya mavuno ya kutosha,
Babu DC (1947,
DC mie mbona huniulizii jamani eeeeeeh........!
karibu sana
nawe tuli ku miss
leo ni thanksgiving day ni siku nzuri ya kushukuru uzima wako
Welkum bak hivi uliondoka na Mwalimu Gaijin maana naye alikuwa sijui amekamatika kwa nani
pole sana We missed u big tyme karibu tena kijiweni watakani chai gahawa?
Hivi na mambo mengine unaweza kufanya thanksgiving? Ni swali tu lol!!!!
Huh Finest weee .......hujui kuweka siri? π
Bandungu wapendwa,
Nimewamiss sana ndugu zangu nyooote wa JF...
Babu yenu nilipigwa lokapu kwa karibia wiki nzima. Ni ngumu kueleza yaliyonikuta ila jueni tu kuwa niko mzima!
Hebu nambieni jamani...nani kawaona wajukuu zangu akina Maty, Musinga, Smile; Teamo na Rose hao nimeshawamuona.
Na hawa je?....Nyamaya,Asprin, PJ, Askofu, Rev. Masa, Bht, JS, MJ1, FL1, Baba_Enock, Invisible, Finest, etc,
Tafadhali wambie wote kuwa nawakumbuka sana na pia nawapenda sana.
Mungu awabariki sana, muwe na week end njema tena ya mavuno ya kutosha,
Babu DC (1947,
Aisee!!!!! Nilikumiss sijui ulikuwa wapi uwe unasema basi
Welkum bak hivi uliondoka na Mwalimu Gaijin maana naye alikuwa sijui amekamatika kwa nani
Mwalimu nilikuwa nahesabu siku ambazo mme-miss wewe na DC nikagundua ziko sawa