Nimewamiss sana JF members

Twini nilimuacha home alikuwa anaenda kununua chakula cha kuku,unataka nimkol uongeee nae live?
Usihofu P,

Mungu yuko pamoja nasi ... anatupigania. So, tutafika tu!

Umemwona wapi mdogo wangu Bht?
 
Karibu sana mkuu naona shangazi alikung'ang'ania sana.

Si tupo tumesha kata tamaa ya kuishi imradi kuche tu
 
Twini nilimuacha home alikuwa anaenda kununua chakula cha kuku,unataka nimkol uongeee nae live?

Hebu mweleze babu anataka kusikia sauti yake.. Ni ngumu kuamini kwamba bado yuko yule yule!

Au naye kakumbukwa na uncle JK?
 
Karibu sana mkuu naona shangazi alikung'ang'ania sana.

Si tupo tumesha kata tamaa ya kuishi imradi kuche tu

Bro...brooooooooooo...ni wewe...uuuuuwiiiiii!

Siku nyingi eti...nafurahi uko mzima...

jamaa wa Chuda hawajamtuma panya akuibie mtaji wako uliopewa na Mungu toka day zero?!!!:A S wink::A S wink::A S wink::A S wink::A S wink::A S wink:

Usikate tamaa ndugu...kufa hatufi ila cha moto tunakipata.. Hata hivyo mwisho wa siku...we will be the winners!
 
kwamba maty ashachakachuliwa muongo huyo anataka kutugombanisha tu?

Afadhali umekuja mwenyewe kujibu...Babu alishaanza kuwa na wasi wasi kwamba wajukuu wanamwingiza mjini! Akilala kidogo tu anaruka madirishani na kutokomea!
 
Babu lockup? du! kama nakuona vile.................... uliwekwa na bibi, au? welcome back, tulikumiss pia
 
DC nitumie basi Pm unambie kwa nini walikupiga lockup ,

Tulikumiss sana me nikajua deni langu ndo nisahau tena
Nimefurahi kukuona ukiwa bukheri wa siha njema kabisa hasa huko tunakoelekea kufunga mwaka
welcome back DC
 
Ahsante sana FL1,

Nikumbushe basi ndugu yangu hilo denu..si unajua wababu tunaogopa sana kudaiwa..Nakuhakikishia nitalipa tu hata kwa kukopa au kuweka rehani ving'ombe vyote nilivyorithishwa na babu yenu!

Hope kila kitu kiko poa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…