Mimi niko majuu....unyamwezini to be exact....Kanumba mnakula naye vumbi hapo Dar.....moja jumlisha moja ni mbili, siyo kumi na moja!!
Mhhhhh OPP,
Mbona mmefika mbali...Mnaonaje mkihamia offline ili tusije kuwanyima watoto wa wenzetu usingizi?
Naomba tu muyamalize ili tuendelee na kusherehekea "Thanks giving day"! Kuna jamaa akanialika tukafinye bonge la turkey...Tusimpelekee stress!
babu DC mambo vipi,nini kinaendelea tena hapa jion hii.nilivyokumiss babu yangu hapa natabasamu kupita maelezo kwa kukuona,tena ukiwa na nguvu mpya.
Hivi Obama wale bata mizinga 2 aliowasave na kisu,,,,, anamaanisha nini>
On a serious note, mkuu DC karubu sana
Huku Usalule, hatujui habari ya Thanksgiving day....tunatoa thanks kwa kipi? Inaonekana kama MwenyeziMungu kawapendelea zaidi wengine kuliko sisi...kila kukicha, shida tu,
Na wale wanaooonekana kutusemea ndo kwanza wanaaambiwa eti wakakalie dawati la afrika mashariki, ili wasikae karibu na wananchi....ndo maana hatuna siku ya thanksgiving!
Karibu back,,,,,hapa ndo nyumbani......kuna wajukuu kama Wiselady na Smile, wanatuchangamsha sana...
wajameni samahani kidogo.................
thenksigiving ni siku gani hasa?