Kuna mwingine zaidi ya MunguUnasifu na kuabudu nini my?
Umeokoka lin we nawe😁Kuna mwingine zaidi ya Mungu
Kuna miamba itakuwa imeona hii kauli tuHaya leteni michapo ya mapenzi tupenzike kwa pamoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna miamba itakuwa imeona hii kauli tu
Na ndio kauli pekee inayoenda kujaza PM yako
Tena unaweza pata PMs 10 kwa ID moja iliyojigawanya [emoji2]....hapo kuchomoka huwezi