Nimewamiss ....

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Natumaini hamjambo wote ...
Kila kukicha majukumu yanaongezeka na ndiyo maana nimekaa kipindi kirefu sionekani hapa sebureni ... nimewamiss sana marafiki zangu wa JF lakini kikubwa zaidi ni kwamba muda mwingi nautumia kwenye shughuli za ujasiriamali (kilimo na ufugaji) - hivyo baada ya kazi nachoka sana - siji kuwapa hi ... leo niko free ...
HAMJAMBO WAPENDWA WANGU?
 

Habari za siku mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…