Yaani wewe tena jamani lol.....nimekumiss mpaka nataka kulia ujue....eti mbona twapishana hivyo we Catherine????...nikiingia mlango huu wewe watokea ule lol....sio vizuri ujue eeh!
Nimekumiss mimi Catherine. Siku mbili tatu sijakuona humu jamvini, nawe bado mgeni isije ikawa wamekufundisha tabia mbaya. mwaaaah
mi pia nashangaa bidada inakuwaje, halafu mtu mzima hatakiwi kulia utanitisha mgeni. Habari za uzima.
Thanx...chukua zawadi yako hii.....
Hehehehe samahani mgeni mie sikujua kama unaogopa bana .....afu nimependa hiyo avatar yako.....huyo ndio wewe au mwanao ?......karibu sana mgeni.....hapa ndio jf chit chat! Silii tena mwaya!
teh teh teh! Huyo ni mtoto wangu wa tano na ndio last born. Nakaribisha mkwe tuunganishe undugu.
kaizer hiyo mwaaah ni busu au? Mgeni bado sijazoea hizo mambo zenu nisije nikashindwa kutype bure.
Hapana ni salamu tu sonikisema Mwah na wewe unaniambia Mwaaaaah! sawa eeh?
teh teh teh! Huyo ni mtoto wangu wa tano na ndio last born. Nakaribisha mkwe tuunganishe undugu.
heheh Sweetlady unalo.....kwani Vin D alishakutotolesha hata kamoja swahiba?
We we we!......chezeiya Vin Diesel wewe eeh??? au vile sijakualika kwenye mbesii????.....nilikupigia hupatikani lol!

Yaani siamini ninachokisoma, Mungu wangu
Si uanze hata na salamu afu baada ya salamu ndio uketi nikusimlie lol......hivi kwani ulienda wapi?