Sikuamini nilichokisoma hata salamu imekakauka mdomoni..Moyo wangu nahisi kama vile umemwagiwa maji baridi
Khaaaa !! jamani yamekuwa hayo tena???.....kwa hiyo nilete maji ya moto nikumwagie au?
Rejao alinyang'anywa kadi ya chama kwa hasira akajitoa jf Cantalisia najua alipo ila sikwambii mpaka unipe hela!afu Cantalisia na Rejao walipotelea wapi?
Hadi hapa tayari umeshanimwagia maji ya moto sweetylady, nakupenda sana sweetylady hata kama kuna mtu amakuchukua
:flypig: :flypig:.......love you darling!
Maneno hayatoshelezi kuelezea mapenzi yangu kwako....
Yeah niko kwa mchakato. Kaizer hawezi kukidhalilisha chama namna hii. Kikao pia kitajadili imekuwaje sweetlady ukawa na moyo wa kikatili namna hii mpaka unamwaga vidume kama nitonye kwa staili hii......Do it ASAP Asprin ......huyu kama vipi tumnyang'anye hicho cheo lol!:israel:
Hadi hapa tayari umeshanimwagia maji ya moto sweetylady, nakupenda sana sweetylady hata kama kuna mtu amakuchukua
Hehehehehe ! Hapo red lovely husband Vin Diesel akisoma atachukia ....kama unaweza delete fasta!
Good night
Good night too !
mama kadogoo upo?? mi na we tunadhuriana kweli?? hilo busu lilikuwa special kwa aliyetumiss kha!