Nimewaona,nimemshukuru Mungu

Nina amani sana tu na maisha yanaendelea kama kawaida. ahsante ashsdi
Hivyo ndivyo inatakiwa SaraM my dear. Kuukubali ukweli na hali halisi. Kuishi kulingana na hali iliyopo na si kujutia. Nimekugongea LIKE pale juu, kaikague.
 
Uzuri ni kuwa anajua salamu kazipitishia kwenye mikono salama.........


Wee unafikiri kwa nini nakuita My Great old shem??.... I am safe with you.... let alone yale yanayopitishiwa mikononi mwako..... hata salam pia...
 
Wee unafikiri kwa nini nakuita My Great old shem??.... I am safe with you.... let alone yale yanayopitishiwa mikononi mwako..... hata salam pia...
Na si unakumbuka ahadi yangu? Nairudia tena kwa heshima yako: Sitakuangusha!
 
inspirational... thanks... ngoja niwatafute
 
Na si unakumbuka ahadi yangu? Nairudia tena kwa heshima yako: Sitakuangusha!


I know... I know... Mpaka sasa you have proven that.... You Great Shem of mine... Thank you...
 
hivyo ndivyo inatakiwa saram my dear. Kuukubali ukweli na hali halisi. Kuishi kulingana na hali iliyopo na si kujutia. Nimekugongea like pale juu, kaikague.

:a s 109::a s 109:
 

Thanks my dear! Stay blessed too.
 
Hivyo ndivyo inatakiwa SaraM my dear. Kuukubali ukweli na hali halisi. Kuishi kulingana na hali iliyopo na si kujutia. Nimekugongea LIKE pale juu, kaikague.
Ahsante nimeikagua aspin,mbona nikibinya ina feint?
 
Ahsante nimeikagua aspin,mbona nikibinya ina feint?
Ukibinya nini SaraM, angalia sredi isijehamishiwa kwa Maria Roza kule.........Labda haubinyi vizuri, hebu binya tena tuone.
 

Wow,short and clear.
Safi sana,siweze elezea furaha unayopata pale unapokutana na rafiki zako
wa utotoni.
Wengine mlikua mnapigana sana,baada ya masaa mawili mnageuka kuwa marafiki sana.
Marafiki wa ukubwani mkikosana kidogo tu,achilia mbali kupigana kupatana ni shughuli.
 
Dinnah kumbe bado uko chuo? Soma dada, angalia usije ukawa addicted na JF nawe ukaishia mwaka wa pili.........

Haya log out, kashike kitabu..........:A S crown-1:

Hii thread imenifundisha mengi sana,achilia mbali kumbukumbu za
watu,ila nimejiona mdogo kupita wote maana utasikia mwingine.
"classmate wangu anafanya PHD saivi,mwingine sijui yuko wapi",...wakati
wengine hapa mh,hata degree bado tunahesabu miezi kadhaa mbele.
 

Dah, umenikumbusha mbali mkuu. Ni kweli nina kila sababu ya kumshukuru Mungu. Hadi kufika hapa tulipo ni mengi yametokea. Tumekutana na marafiki wengi na wengi hawapo.
Class mate wangu wa mwaka wetu wa LY, mmoja tumesoma naye chuo kikuu, wengine wapo tu mtaani.
Wengine wametangulia mbele za haki,
Wengine ni wajasiliamali wazuri,
Wengine ndo hivyo,
Lakini ni kweli tuna kila hali ya kumshukuru Mungu.
 


Sidhani kama watapata inferiority complex kama utakaa nao
na kuongea nao bila kuonesha changes yoyote.
I mean,uwe wewe yule yule walie kuzoea.

Kwa mfano mimi tulipo kutana,ghafla nilikumbuka majina yote niliyokua nawatania na waliyokua
wananitania,tukaanza kutaniana tena while having a few drinks na kubadilishana mawazo ya kimaisha.

trust me,hata kama wameishia std 7,wana ndoto na mawazo mazuri sana ila hawawezi kuyafanyia kazi.
Kaa nao,pamoja na utani wa zamani ambao utawaonesha kwamba "he/she is still the sama clemmy we used to go swim in the ponds with"
hawata feel inferiority complex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…