Mhhhh!!
Yaani mimi nilifaulu peke yangu kati ya 45. Wengi walibaki kijijini, wakaolewa na kuoa.....mwaka jana nilienda kijijini nikakutana na wadada wawili, yaani wana wajukuu tayari.....!!!
Yaani kila nikikumbuka nilikotokea, nasema "Hata sasa Bwana amenisaidia"
ODM... Umenikumbusha weeeeengi... very young, with Great potential... i Grieve when ever i remember at the End I Thank GOD THE ALMIGHTY I was lucky i got to know them kabla hawajachukuliwa.... May they REST IN PEACE....
Tuliomaliza darasa la saba tulikuwa 24, tulifaulu 6....... Tuliofaulu ni mmoja tu aliyeishia kidato cha sita ambaye alijiunga na JWTZ na kufikia cheo cha Luteni kabla hajatimuliwa baada ya kumletea fujo Mkuu wa Wilaya!.....Hali yake kwa sasa inasikitisha...... Kwa wale ambao hawakufaulu wanne walijiunga na shule za private, mmoja akijiunga na seminari ambapo mwaka mmoja kabla ya kuwa padre sijui kilitokea nini, hakuupata akaishia ushemasi..... Hawa nao hali zao ni njema mpaka leo
Wale wengine ambao hawakuendelea na masomo...............dah! Mungu na azidi kuwasaidia manake hali yao ni hoi taabani.
Na Mmoja ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu enzi hizo tukicheza mpira wa chandimu: Roho ya Marehemu apate Rehema kwa Mungu, aendelee kupumzika kwa amani: AMEN!
How old are you Clemmy? Yawezekana we unazungumzia uloachana nao five years back... Wengine hapa wanazungumzia miaka ishirini na ushee iliyopita....... Ni watu wazima wenye watoto kadhaa (wengine na wajukuu, imagine mtu aliyeoa miaka miwili baada ya kumaliza la saba). Ni watu waliokwisha kata tamaa......... Sijui kama unanielewa kaka/dada?Sidhani kama watapata inferiority complex kama utakaa nao
na kuongea nao bila kuonesha changes yoyote.
I mean,uwe wewe yule yule walie kuzoea.
Kwa mfano mimi tulipo kutana,ghafla nilikumbuka majina yote niliyokua nawatania na waliyokua
wananitania,tukaanza kutaniana tena while having a few drinks na kubadilishana mawazo ya kimaisha.
trust me,hata kama wameishia std 7,wana ndoto na mawazo mazuri sana ila hawawezi kuyafanyia kazi.
Kaa nao,pamoja na utani wa zamani ambao utawaonesha kwamba "he/she is still the sama clemmy we used to go swim in the ponds with"
hawata feel inferiority complex.
ODM... Umenikumbusha weeeeengi... very young, with Great potential... i Grieve when ever i remember at the End I Thank GOD THE ALMIGHTY I was lucky i got to know them kabla hawajachukuliwa.... May they REST IN PEACE....
Tuliomaliza darasa la saba tulikuwa 24, tulifaulu 6....... Tuliofaulu ni mmoja tu aliyeishia kidato cha sita ambaye alijiunga na JWTZ na kufikia cheo cha Luteni kabla hajatimuliwa baada ya kumletea fujo Mkuu wa Wilaya!.....Hali yake kwa sasa inasikitisha...... Kwa wale ambao hawakufaulu wanne walijiunga na shule za private, mmoja akijiunga na seminari ambapo mwaka mmoja kabla ya kuwa padre sijui kilitokea nini, hakuupata akaishia ushemasi..... Hawa nao hali zao ni njema mpaka leo
Wale wengine ambao hawakuendelea na masomo...............dah! Mungu na azidi kuwasaidia manake hali yao ni hoi taabani.
Na Mmoja ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu enzi hizo tukicheza mpira wa chandimu: Roho ya Marehemu apate Rehema kwa Mungu, aendelee kupumzika kwa amani: AMEN!
How old are you Clemmy? Yawezekana we unazungumzia uloachana nao five years back... Wengine hapa wanazungumzia miaka ishirini na ushee iliyopita....... Ni watu wazima wenye watoto kadhaa (wengine na wajukuu, imagine mtu aliyeoa miaka miwili baada ya kumaliza la saba). Ni watu waliokwisha kata tamaa......... Sijui kama unanielewa kaka/dada?
Sasa wachekea nini? Wanshangaza lolHahahahah.....nyie mbona mwanchekesha mie....🙂
Sidhani kama watapata inferiority complex kama utakaa nao
na kuongea nao bila kuonesha changes yoyote.
I mean,uwe wewe yule yule walie kuzoea.
Kwa mfano mimi tulipo kutana,ghafla nilikumbuka majina yote niliyokua nawatania na waliyokua
wananitania,tukaanza kutaniana tena while having a few drinks na kubadilishana mawazo ya kimaisha.
trust me,hata kama wameishia std 7,wana ndoto na mawazo mazuri sana ila hawawezi kuyafanyia kazi.
Kaa nao,pamoja na utani wa zamani ambao utawaonesha kwamba "he/she is still the sama clemmy we used to go swim in the ponds with"
hawata feel inferiority complex.
Kwa umri huo, bado una nafasi ya kuwatafuta kukaa nao pamoja na kuwapa matumaini na mbinu mbalimbali za kujikwamua kimaisha..... sie wenzio tukikutana na tulioachana nao la saba, wengine huwa tunajikuta tunawapa shkamoo bila kutegemea..... hali mbaya!hahaha,okey nakuelewa mkuu.
Am 6 years to 30years.
Kweli,ni vigumu hapo nimekuelewa.
But ni challenge kwetu ulio chini bado.
Tukiwa primary nilipenda sana kupigana.
kuna rafiki yangu tulipigana na mda mfupi baadae akaanza kuugua.
Alikua na cancer and he died before i said sorry.
May he rest in peace.
Hii thread imenifundisha mengi sana,achilia mbali kumbukumbu za
watu,ila nimejiona mdogo kupita wote maana utasikia mwingine.
"classmate wangu anafanya PHD saivi,mwingine sijui yuko wapi",...wakati
wengine hapa mh,hata degree bado tunahesabu miezi kadhaa mbele.
How old are you Clemmy? Yawezekana we unazungumzia uloachana nao five years back... Wengine hapa wanazungumzia miaka ishirini na ushee iliyopita....... Ni watu wazima wenye watoto kadhaa (wengine na wajukuu, imagine mtu aliyeoa miaka miwili baada ya kumaliza la saba). Ni watu waliokwisha kata tamaa......... Sijui kama unanielewa kaka/dada?
hahaha,okey nakuelewa mkuu.
Am 6 years to 30years.
Kweli,ni vigumu hapo nimekuelewa.
But ni challenge kwetu ulio chini bado.
George Kihiyo tulimaliza wote Muhimbili Primary 1974. Kama upo humu JF, au kuna mtu anamfahamu, tafadhali ni-pm.
Kwa umri huo, bado una nafasi ya kuwatafuta kukaa nao pamoja na kuwapa matumaini na mbinu mbalimbali za kujikwamua kimaisha..... sie wenzio tukikutana na tulioachana nao la saba, wengine huwa tunajikuta tunawapa shkamoo bila kutegemea..... hali mbaya!
And i am like WHAT??? Dah!!! Hongera Mkuu hakikisha GPA Imesimama.... Best of Luck...
Clemmy my first post nilisema you have so much love... out of assumption sababu ni wachache saana hukumbuka walokua nao hapo nyuma... You have done that na naaamin wengi tulopita hapa tumekumbuka mengi mno... ya kufurahisna na kusikitisha pia... nimependa hii post nimeku qoute... It brings so much sense... understanding ambayo lazima isukumwe na Love....
Oooooh soul mate story nzuri zana, ni vizuri sana kukumbukia mwaka 47Tuliomaliza darasa la saba tulikuwa 24, tulifaulu 6....... Tuliofaulu ni mmoja tu aliyeishia kidato cha sita ambaye alijiunga na JWTZ na kufikia cheo cha Luteni kabla hajatimuliwa baada ya kumletea fujo Mkuu wa Wilaya!.....Hali yake kwa sasa inasikitisha...... Kwa wale ambao hawakufaulu wanne walijiunga na shule za private, mmoja akijiunga na seminari ambapo mwaka mmoja kabla ya kuwa padre sijui kilitokea nini, hakuupata akaishia ushemasi..... Hawa nao hali zao ni njema mpaka leo
Wale wengine ambao hawakuendelea na masomo...............dah! Mungu na azidi kuwasaidia manake hali yao ni hoi taabani.
Na Mmoja ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu enzi hizo tukicheza mpira wa chandimu: Roho ya Marehemu apate Rehema kwa Mungu, aendelee kupumzika kwa amani: AMEN!
Duh,aiseee inabidi nianza utaratibu wa kutoa "shikamoo" kabla
sijaanza kuchangia mada humu.
It's a challenge kumheshimu mtu hata kama humuoni au yuko mbali.
Sasa mbona hujanigongea kale kachakula kangu katamu ka "LIKE"? Vibaya hivyo soulmate.Oooooh soul mate story nzuri zana, ni vizuri sana kukumbukia mwaka 47
Aisee hakuna aliesoma mjini humu? Maana kila mtu kaawacha wenzake kijijini!