Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Jana wamerudi wamelewa. Na dada anamfokea shemeji kama mtoto. Nikajiwa na busara kuwa hapa nisipokuwa makini tunaweza siku moja fukuzwa shemeji akichoka kiburi cha sister.
Basi nikamtuma hausigel awaite. Baada ya saa moja wakaja.(walinikwaza sana yaani saa moja kutoka tu room kuja sebuleni) maana nliwaambia kama hawawezi kuja basi niwafuate.
Wakaja wakakaa nikaanza kuwaambia kwa kweli mimi sioni vyema na sijaridhika wao kuwa na vitoto viwili tu mpaka muda huo. Nikawaambia wafanye juhudi waniongezee uncle mwingine. Nami niwe najisikia fresh napowapeleka shule watoto wao.
Huwezi amini sister alinisonya akaamka akaondoka. Nikamwambia shem unaona?ndo madhara haya ya kutompa tena mimba nyingine. Mtie mimba aaache dharau. Na kweli sister asipokuwa na mimba mkorofi sana. Huwa ananikera anavyomfanyia shem.
Nawaza na umri wangu huu wa wastani miaka 37 nipate mke kama yeye si nitamuwuwa?na nilivyo na misimamo mimi? Wanawake kama hawa ili wakuheshimu ni mimba bandika bandua. Mpaka achoke kabisa.
Sasa shem anamlea lea sana sister vitoto viwili kama macho...je kikifa kimoja?au vyote?ndo waanze tena kitafuta. Lewo nimemuka nikawa namsubiria sister nimwambie jana alinikosea sana mimi nimemzidi miaka 10. Ananisonya mbele ya mume wake? Ambaye nimemzidi miaka 3? Hawa watu wanaanza kujisahau sana.
Sister anasahau mzee atakapokufa mimi ndo nitashikilia mali zote za familia. Anasahau kabisa. Ila nitamwonesha kitu. Ye anaweza jiona amemaliza...kumbe safari bado sana. Sikulala usiku kucha nikawa nawaza au nitoroke usiku ule. Au nikunywe sumu niandike barua kuwa sister ndo anajua sababu yangu ya kifo?wamsumbue.
Yaani ananisonya mimi?hajanijua vizuri. Hajanijua. Naweza mfanyia kitu akajuta. Naweza kunywa sumu niandike barua au meseji kuwa yeye anahusika. Halafu hapo ndo nimwone atakavyohangaika na kuhangaishwa na polisi. Shem anashindwaje kumthibiti mkewe?
Wanawake wa siku hizi....ndo maana nikiwaza...nasema ivi kweli mimi nitawowa? Na nilivyo na hasira na misimamo sijui kwa kweli...sijui.
Tuyaache tu kama yalivyo.