Nimewapenda maharusi hawa

Beautiful continent, with beautiful people!
 
inaelekea wapo inlove sana......
 
Hahahaaaa nimeipenda ya beautifuli continent hahaaaaaaaa
mix with yours
 
yaani hawa wanaweza kuzaa, Bonge la Handsome Boy msiamini woooooote!
 
nani kasema papai inazaa parachichi :mad2: ?
 
Hawa ndio wabantu asilia, hahahaaa wamependeza mbayaaaaaaaaaa.
 
yaani hawa wanaweza kuzaa, Bonge la Handsome Boy msiamini woooooote!

ni kweli nimewahi kuona kapozi za watu wazuri kweli lakini watoto wao kwa kweli hawalipi..na nimeona kapozi ambao kwa kweli zinataka kufanana na 'hawa' ila wana watoto wazuri.....ninashangaa sana kazi ya MUNGU.
Hivi ishu za uzuri na ubaya kweli huwa zipo in reality au ni socially constructed! ni kweli kuna wazuri na wabaya au SISI WENYEWE TUMEKAMU APU NA VIGEZO FULANI FULANI ndizo zinatusababisha kuona huyu mbaya na yule mzuri.....UZURI NA UBAYA UNA EXISTITENSI INDEPENDENT OF OUR THINKING?
mix with yours
 
Kweli kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu, nice couple
 
Hapo Dr Remmy mbona ni Handsome kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…