Ni kweli tunachosema Jina la Yesu kwenye Ulimwengu wa Roho ukiona unathibitisha lina nguvu sana. Wakaanza kunikandamiza kwa nguvu sana. Mgandamizo ulikuwa mzito, utafikiri mtu ameweka juu yangu mifuko mitano yenye saruji. Sio mzaha, nakwambia. Sijawahi kuhisi uzito huo kamwe. Haraka sana nilitambua ni wachawi wanaotumiwa na mapepo kujaribu kunidhuru. Nikaanza kuwakemea kwa sauti ndogo, lakini yenye mamlaka watoke na kuniachia. Instantly, waliniacha na mgandamizo ule ukatoweka. Jina la Yesu lina nguvu sana.
Ni na swalLuka 10:19
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Psychology haiwezi elezea mambo ya Rohoni hata siku Moja.... Spiritual life is real like physical... Ila mambo haya yamefichwa kwa wenye hekima ya dunia... Ndio maana hawezi kuelewa mpaka pale Roho wa Mungu atakapokufunulia.... 😁Hiyo ni Sleep paralysis inatokana haswa na mtindo mbovu wa maisha.
Kutokuwa na utaratibu maalumu wa kula, Uchovu mwingi, Stress, Kulala chali na kuchelewa kulala ni moja ya visababishi.
Unawezaje kuthibitisha kuwa huyo Roho wa Mungu unayedai anakufunulia si mawazo yako tu au hisia zako potofu?Psychology haiwezi elezea mambo ya Rohoni hata siku Moja.... Spiritual life is real like physical... Ila mambo haya yamefichwa kwa wenye hekima ya dunia... Ndio maana hawezi kuelewa mpaka pale Roho wa Mungu atakapokufunulia.... 😁
Mkuu, shule nimeenda. Najua sana umuhimu wa utaratibu wa kula, umuhimu wa kulala mapema na mambo yote muhimu kiafya. Siku hiyo sikuwa na uchovu wowote na mimi stress kwa ujumla sina. Maisha yangu yamejaa furaha sana kwa sababu Mungu amenifanyia mambo mengi ya baraka.Hiyo ni Sleep paralysis inatokana haswa na mtindo mbovu wa maisha.
Kutokuwa na utaratibu maalumu wa kula, Uchovu mwingi, Stress, Kulala chali na kuchelewa kulala ni moja ya visababishi.
Adui wanaozungumzwa ni wanadamu. Mapepo tunatakiwa kuyatandika mboko za ukweli. Na si kwa nguvu zetu. Ni kwa kutamka tu: "Kwa Jina la Yesu, shindwaaa"Yesu alisema Wapendeni adui zenu... Alfu wewe unawapiga,?🤣🤣
Haleluyaa!Luka 10:19
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Ahhahaa nimejikuta nafurahishwa sana na comment zako...Fire,🔥🔥🔥🔥 mpaka wakome, wasinichezee mimi, I am a child of God