Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

Kawaida watu wengi walio okoka wanakuwa wamepitia mambo mengi sana mpaka kufikia kuokoka, wengi wao wanakuwa wamechoka kujiuza mitaani na mitandaoni na wengine wanakimbia uchawi wa kifamilia. Wewe mwenzetu ulikimbia nini mpaka kuokoka?
Mimi ni tofauti. Tangu utoto nilikuwa napenda kwenda kanisani. Of course nilikuwa naenda church kama ilivyokuwa desturi ya wazazi wangu, ila nilikuwa bado sijaokoka, kwa kuwa hapa na pale nilikuwa natukana na kugombana na wenzangu japo si sana.

Lakini baadaye nilitambua wazi kuwa mimi ni mwenye dhambi. Ingawa sikuwa nimepitia mambo mengi mabaya kama wengine, lakini nilitambua kuwa mimi ni mwenye dhambi tu kama ilivyoandikwa katika
Rum 3:23-26
kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu; ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake

Hivyo nilitubu, nikampokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wangu; nikabatizwa katika maji mengi, nikajazwa Roho Mtakatifu. Hadi leo naendelea kumpenda Yesu na sitamwacha kamwe, maana karibu atarudi kutuchukua na kutupeleka mbinguni kwenye raha ya milele. Nakukaribisha na wewe katika familia ya waliookoka, kama bado hujaokoka.
 
Setfree nasikia huna mchumba...
Nakushauri uolewe Sasa ili umtumikie Mungu vizuri.
Gojaga Nize nikuchape Injili
Alīyo ū būjingi na būsoso bose bose, nūūlū kwikūmva; shitizūhayiwa gete ū mu bing'we. A bing'we shimīzagi gīt'ūmo shibigelile beela. Yaya ū kūgaya ikūjo nūūlū kwimanīlīja mihayo ya maneene ga nyachilū chilū nūūlū wimeji, nguno ī mihayo yenīyī ītagunanhaga; īlī hambū hambū bizagi banhū ba kūlūmba. Managi gīkī būlī njingi nūūlū munhū nsoso mu nhūngwa, nūūlū ng'wikūmvi, (ūyo alī namya wa mashikolo), ū munhū ūyo alī gīko atī na wingīji ū mu būtemi bo ng'wa Kilisito na Mulungu. Yaya ū kūnzunīlīja munhū nūūlū ūmò amulemba lembe mu nzīla ya mihayo midūhū, nguno ū būpelanu bo ng'wa Mulungu būkabikīīlaga a bashitiigwa kūlwa mihayo gītī yenīyī. Hūna lūūlū, yaya ū kūbiza na būsangī nabo (Baefeso : 5 :3-7)
 
Umechanganyikiwa
 
Ni kuongoka sio kuokoka.
Yote mawili ni muhimu. Tunatakiwa kuongoka na kuokoka.
Mathayo 18:3
Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika ufalme wa mbinguni.

Warumi 10:13 – Ahadi: “Kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka.”

Waefeso 2:8
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu
 
Achana na mental health people mkuu hapa utakesha kubishana na machizi...corrupted minds all in the name of religion ..
felakuti
Your facile denigration of those who engage in spiritual exorcism under the sacred auspices of faith, dismissively branding them as mere purveyors of “mental health” anomalies or “corrupted minds,” evinces a lamentable epistemological naiveté and a profound metaphysical myopia. To reductively equate legitimate deliverance ministries, which confront the ontic realities of diabolical malevolence and seek the restoration of the soul’s sanctity, with psychological pathology bespeaks a gross impoverishment of intellectual rigor and a failure to apprehend the transcendent ontological conflict perennially waged between the principality of darkness and the kingdom of light, as delineated with piercing clarity in sacred scripture.

Such an epistemic reductionism, characteristic of the prevailing secular scientism, is singularly ill-equipped to grapple with the profound existential and metaphysical dynamics at play, dynamics that transcend empirical verification and delve into the very fabric of cosmic duality. Your equanimity in conflating spiritual warfare with insanity not only constitutes a categorical fallacy but also a tragic abdication of epistemic humility regarding the spiritual realities that have historically vindicated countless individuals emancipated from occultic subjugation through invocation of the Divine Nominal authority.

Furthermore, to those who spurn the redemptive efficacy of the Cross, decrying it as mere “foolishness,” the apostolic witness remains incontrovertible: “For the message of the cross is to them that perish foolishness...” (1 Corinthians 1:18). This so-called “foolishness” embodies a sublime paradox, an inscrutable mystery that shatters human hubris and reveals the unparalleled sufficiency of Christ’s atoning sacrifice. To vilify the Cross is to embrace a pernicious intellectual and spiritual bankruptcy, an inexorable descent into eternal perdition.

If you possess unimpeachable cognitive soundness and intellectual clarity, I entreat you to proffer your rejoinder in the lingua franca of global discourse, so that the substance of your argument may be appraised with the gravity and discernment it ostensibly warrants. 😎

cc: Jagina Ibn Unuq
 
Umesema umewapigia simu Wachawi au nimesoma vibaya?
Soma tena mkuu, kichwa cha uzi bado kinasomeka vile vile. Ila kama umeishapiga kilauri, pole sana maana macho yako lazima yaone mauzauza. Achana na hiyo mipombe, ni dhambi
 
Kwamba aya hizo ni uzushi, kwamba zimeingizwa baadaye, hiyo sio issue. Issue ni kwamba wachawi nimewapiga kwa Jina la Yesu na wamekimbia.
 
Kwa hiyo sasa wewe hutukani hata ukinogewa kwenye dimba la 6 X 6 pale unapofikishwa kileleni au unakuwa hukumbuki tu kwa kuwa unakuwa dunia nyingine?
 

Hapo juu umenukuu halafu umekuja kuuliza tena , nafikiri wachawi wanakuchezea akili Sasa .Mbona nilishajkujibu hii huko nyuma kuwa hii Aya imechakachuliwa. ? Rudi huko nyuma uangalie . Biblia nyingi Marko 16 inaishia Aya ya 8 . Hizo zinazofuata zote zimeshaondolewa Ndani ya biblia . Ni kuwa watu walizichakachuwa. Rudi kuanzia page ya kwanza utaikuta
 
Kwamba aya hizo ni uzushi, kwamba zimeingizwa baadaye, hiyo sio issue. Issue ni kwamba wachawi nimewapiga kwa Jina la Yesu na wamekimbia.
Hukuvuta majani ya ajabu au ulikunywa mtori mwingi?
 
Kwamba aya hizo ni uzushi, kwamba zimeingizwa baadaye, hiyo sio issue. Issue ni kwamba wachawi nimewapiga kwa Jina la Yesu na wamekimbia.
Na kwa nini ukaileta hiyo Aya na unasema sio issue , wewe Itakuwa unaongozwa na wachawi umekunywa damu nyingi ya Yesu kutoka Dodoma , hiyo si akili yako
 
Na kwa nini ukaileta hiyo Aya na unasema sio issue , wewe Itakuwa unaongozwa na wachawi umekunywa damu nyingi ya Yesu kutoka Dodoma , hiyo si akili yako
Hiyo aya mimi naiamini. Ila kwakuwa wewe unadai ni ya uzushi ndo maana nimekuambia angalia matokeo. Kama aya ni ya uzushi, kwanini wachawi wamekimbia? Usikubali kutumiwa na shetani kueneza uongo. Shetani ameishahukumiwa kwenda motoni. Ukiendelea kumfuata, utaangamia pamoja naye.
 
Psychology haiwezi elezea mambo ya Rohoni hata siku Moja.... Spiritual life is real like physical... Ila mambo haya yamefichwa kwa wenye hekima ya dunia... Ndio maana hawezi kuelewa mpaka pale Roho wa Mungu atakapokufunulia....
 
HIZO NI HOJA DHAIFU. Wewe sema wamechakachua. Mimi nakwambia: Kwa Jina la Yesu, nimewapiga wachawi kipigo cha mbwa koko.

By the way, unapotoa hoja za kupinga maandiko uwe una-refer maandiko ya mwanzo ya kiebrania na kigiriki. Sio kusema eti Biblia nyingi... Hata shetani ana Biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…