Huwezi kumtetea Mungu wako kwa maneno magumu wakati hoja zako ni dhaifu.felakuti
Your facile denigration of those who engage in spiritual exorcism under the sacred auspices of faith, dismissively branding them as mere purveyors of “mental health” anomalies or “corrupted minds,” evinces a lamentable epistemological naiveté and a profound metaphysical myopia. To reductively equate legitimate deliverance ministries, which confront the ontic realities of diabolical malevolence and seek the restoration of the soul’s sanctity, with psychological pathology bespeaks a gross impoverishment of intellectual rigor and a failure to apprehend the transcendent ontological conflict perennially waged between the principality of darkness and the kingdom of light, as delineated with piercing clarity in sacred scripture.
Such an epistemic reductionism, characteristic of the prevailing secular scientism, is singularly ill-equipped to grapple with the profound existential and metaphysical dynamics at play, dynamics that transcend empirical verification and delve into the very fabric of cosmic duality. Your equanimity in conflating spiritual warfare with insanity not only constitutes a categorical fallacy but also a tragic abdication of epistemic humility regarding the spiritual realities that have historically vindicated countless individuals emancipated from occultic subjugation through invocation of the Divine Nominal authority.
Furthermore, to those who spurn the redemptive efficacy of the Cross, decrying it as mere “foolishness,” the apostolic witness remains incontrovertible: “For the message of the cross is to them that perish foolishness...” (1 Corinthians 1:18). This so-called “foolishness” embodies a sublime paradox, an inscrutable mystery that shatters human hubris and reveals the unparalleled sufficiency of Christ’s atoning sacrifice. To vilify the Cross is to embrace a pernicious intellectual and spiritual bankruptcy, an inexorable descent into eternal perdition.
If you possess unimpeachable cognitive soundness and intellectual clarity, I entreat you to proffer your rejoinder in the lingua franca of global discourse, so that the substance of your argument may be appraised with the gravity and discernment it ostensibly warrants. 😎
cc: Jagina Ibn Unuq
Kwamba aya hizo ni uzushi, kwamba zimeingizwa baadaye, hiyo sio issue. Issue ni kwamba wachawi nimewapiga kwa Jina la Yesu na wamekimbia.
HIZO NI HOJA DHAIFU. Wewe sema wamechakachua. Mimi nakwambia: Kwa Jina la Yesu, nimewapiga wachawi kipigo cha mbwa koko.
By the way, unapotoa hoja za kupinga maandiko uwe una-refer maandiko ya mwanzo ya kiebrania na kigiriki. Sio kusema eti Biblia nyingi... Hata shetani ana Biblia
Je, unaijua "Biblia" ya Shetani? Pita hapa nikujuze!
Katika siku hizi za mwisho, wapinga Kristo wameanza kutumia njia mbalimbali kuwapotosha waumini wa kweli. Mojawapo ya njia hizo ni kuzalisha Biblia potofu au tafsiri potofu za Biblia. Kama huna habari kuna kitabu kinaitwa "The Satanic Bible" (Biblia ya Shetani), kilichoandikwa na Anton LaVey...www.jamiiforums.com
Yote mawili ni muhimu. Tunatakiwa kuongoka na kuokoka.
Mathayo 18:3
Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika ufalme wa mbinguni.
Warumi 10:13 – Ahadi: “Kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka.”
Waefeso 2:8
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu
Nyie mnawazaga ujinga tuuu ahahahahahMbona kama uvuvi haramu huu 😂😂😂
Kama hujaokoka, HUNA mamlaka ya kumkemea shetani. Yesu alitoa mamlaka hayo kwa waaminio tu. Na shetani anajua kama umeokoka au la.Yanatoka bhana ,jina la Yesu lina nguvu kwa yoyote atakae litamka kwa imani awe ameokoka au hajaokaka na pia mtu anaweza akawa ameokoka na asiwe na imani
Hapa niko bar nakunywa plse niletee mtu mwenye mapepo nimwombee uone,jina la YESU yoyote mwenye imani akilitamka linatendaKama hujaokoka, HUNA mamlaka ya kumkemea shetani. Yesu alitoa mamlaka hayo kwa waaminio tu. Na shetani anajua kama umeokoka au la.
Kama hujaokoka, ukimkemea shetani, ni sawa na raia kusimama barabarani na kusimamisha magari, utakanyagwa. Soma Matendo 19:13-16, uone yaliyowapata wana wa Skewa.
Wanaamini ushirikina sababu una vithibitishi, ulikuwepo kabla ya kuletwa kwa Mungu wa kikristo na uislam, na ulitenda mambo ya wazi kabisa, sasa ninyi tuelezeni huo ukristo na uislam ni jambo gani la ajabu umewai fanya lenye ushahidi?.Mungu azidi kukulinda. Nashangaa watu wanaamini ushirikina ila ikija Nguvu za Mungu wanaanza kuhoji.
Kwanini watu hawakibiwi maombi yao lwa wakati tho anatii sheria ya BwanaFire,🔥🔥🔥🔥 mpaka wakome, wasinichezee mimi, I am a child of God
Kumbe kiswahili unajua sasa kwanini uanze kunitesa ku-Copy and Paste kwenye matranslators.Teknolojia zote zilizopo za kutafsiri lugha bado kuna mtu anaona ugumu wa maneno?
Davidmmarista
Huu uzi nafikiri ulikupita
Huu uzi unathibitisha kuwa yaliyoandikwa katika Biblia ni ya kweli. Kitabu cha Yak 4:7-10 kinasema
"Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia..."
Muulize Mshana Jr
Kabla hajaokoka alikuwa anafanya mambo ya kichawi, atakupa majibu mazuri
Sure I trust in the MIGHT NAME OF JESUSLakini kama hujaokoka ukiwakemea wachawi au mapepo, hayatoki, sana sana yatakudhuru. Soma Matendo 19:13-16
"Baadhi ya Wayahudi wenye kutangatanga, nao ni wapunga pepo, wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu juu yao waliopagawa na pepo wachafu, wakisema, Nawaapisha kwa Yesu, yule anayehubiriwa na Paulo. Walikuwapo wana saba wa mtu mmoja Skewa, Myahudi, kuhani mkuu, waliofanya hivyo. Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani? Na yule mtu aliyepagawa na pepo mchafu akawarukia wawili, akawaweza, akawashinda, hata wakatoka mbio katika nyumba ile wakiwa uchi na kujeruhiwa."