Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

Fanya jukumu lako uliopewa hivi umeshawai kujiuliza aliye uwawa au kuzulumiwa ataipata je Haki yake hali haliyakuwa Aliye mzulumu naye amesha kufa.
Kama Mungu ana uwezo wote, kwa nini asizuie dhuluma kabla hazijafanyika?

Kama ana huruma, kwa nini anaruhusu mtu aishi maisha yote kwa mateso huku akitumfariji kwamba atamwadhibu yule mtesaji siku akifa?

Je, hiyo ni haki ya kweli kumuacha mtu abake, alawiti, au aue watu vitani?
Kwa nini asizumzui mtu mapema kabla hajafanya hayo yote?

Kama Mungu ni mjuzi wa yote na ni wa haki, kwanini aliona ubakaji huo kabla haujatokea na hakuchukua hatua?

Na kama ananguvu kuliko vyote kwanini ashindwe kuzuia mtu asiye na hatia kuteseka na maumivu ya kubakwa?

Hivi Kulawitiwa na kubakwa mpaka kufa nalo ni jaribu la kiimani la kimungu kwa anayetendewa?

Kama Mungu ni mwenye huruma bhasi angezuia hicho kitendo kabla hakijatendwa.
Kama Mungu aliamua kutokuzuia, basi aliiruhusu dhuluma itendeke.

Je, mahakama inayochukua hatua mapema baada ya mtu kufanya ubakaji na ulawiti ni bora zaidi kuliko Allah anayeangalia na kukaa kimya?

Haki ya kweli ni ya kuchelewa au ni ya kuchukua hatua mapema?
Je, wewe ukimuona mtu anataka kubaka utachelewa kufuata haki?
Je, wewe ni bora kuliko Allah wako anayechelewa?

Kama ana subiri, basi aidha amekosa huruma, au anatenda mchezo wa kutesa watu kisha baadaye aje kuwahukumu kwa kushindwa kukwepa mateso aliyoyaleta.

Na huo si upendo – ni squid game ya kimungu.
 
Ulimwengu wa Kiroho ni hatari Sana. Kuna madaraja unapanda kadri unavyo endelea. Kuna daraja la Kiroho ukifika ndiko utajua kumbe Kuna mengi Sana duniani.
Wewe ulipanda lini hilo daraja? Uliona kitu kipi kipya?
 
Hivyo vipepo hata mimi naweza kuvipiga KO Bila hilo jina

mpige KO Shetani mwenyewe uwezo huo huna!
Shetani, mapepo na wachawi, wote wanasalim amri, Jina la Yesu likitajwa.
Yak 4:7-10
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi.
 
Shetani, mapepo na wachawi, wote wanasalim amri, Jina la Yesu likitajwa.
Yak 4:7-10
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi.

Mbona Aya haisemi Yesu au unamwona ndiye Mungu? Yesu si Mungu hajawa Mungu wala hatokuwa Mungu. Mungu hana mama, wala ndugu wala dada wala wajomba wala hajatawazishwa mikojo na mavi na watu
 

Hakuna jipya, hayo ni maisha ya kila siku
 
Next time waambie Malaika Wawa arrest, then Kwa Mamlaka uliyonayo amrisha wajitokeze mbele Yako.

Wakijitokeza vunja nguvu zao Kwa jina la Yesu, amrisha Ulinzi kwenye Nyumba Yako, hakuna Spirit aina yoyote kutoka nje kuingia hapo (Unazuia wasipate usaidizi Toka nje).

Wanyoe Nywele, Waongoze Sala ya Toba, waambie wakupeleke walipoweka Mikoba yao ya Kichawi, kama ni Kwao ongozana nao kukishakucha.... Teketeza Vifaa vyao vya Kichawi na Utakua umewasaidia.

Wachawi hawawezi kuacha Uchawi wao wenyewe Kwa matakwa Yao kwani Watauwawa na wenzao, wengi wanatamani kuacha lakini wanashindwa coz ni Yesu pekee anayeweza kuwasaidia kuwatoa huko bila wao kupata Madhara yoyote....!

Wakati mwingine Mtumishi wa Mungu wasaide Wachawi kuokoka.... Kwa uwepo wako hawawezi kushambuliwa na wenzao....!

NB:
Usisahau kuwanyoa Nywele baada ya maombi.
Lazima uziombee hizo Makorokoro Yao ya Kichawi then Uchome moto.
 
Shetani, mapepo na wachawi, wote wanasalim amri, Jina la Yesu likitajwa.
Yak 4:7-10
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi.
Ha shetani unamjua au unamfahamu?!
 
Ilikuaje wakaingia, nyumba yako/chumba chako hakina ulinzi?
 
Ilikuaje wakaingia, nyumba yako/chumba chako hakina ulinzi?
Waliingia ili Yesu awaaibishe hadharani kwa ushuhuda huu. Kama wasingeingia nisingeandika ushuhuda huu ambao umewawezesha maelfu kujua nguvu ya Jina la Yesu dhidi ya shetani, mapepo na wachawi.

Ni kama wakati ule wana wa Israeli walipokuwa wanavuka bahari ya Sham. Ulinzi wa Mungu ulikuwa juu yao lakini majeshi ya Farao yaliwafuatia na kuingia katika njia aliyoipasua Musa. Matokeo yake unayajua. Maji yaliwafunika wakaangamia kwa maji. Ni ushuhuda mpaka leo.
 
Ni Wakati Sasa Tujenge Hema Mama Mchungaji,,Kama Hutojali Tulipambanie Hilo Likifanikiwa Nahitaji Ukatibu Wa Dhabahu Tuu...Inatosha....Tuseme Eeemennn....
 
Huyo Yesu wako angalilitoa pepo CCM madarakani kwanza . Hata Gwajima kajificha na Yesu wake vichakani , anatoka usiku usiku Kama popobawa 😃😝😝
 
Huyo Yesu wako angalilitoa pepo CCM madarakani kwanza . Hata Gwajima kajificha na Yesu wake vichakani , anatoka usiku usiku Kama popobawa 😃😝😝
Siasa peleka huko kwenye jukwaa la siasa. Hapa tunashuhudia nguvu ya Jina la Yesu dhidi ya wachawi. Amen?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…