Kwanini Mungu hakumtupa shetani na wenzake hukoJupiter au Neptune, akamleta humu duniani aturubuni sisi wanadamu?Shetani kabla ya kuwa shetani alikuwa malaika mkuu mbinguni. Baadaye akaingiwa na kiburi, akataka kuwa kama Mungu. Yeye pamoja na theluthi moja ya malaika walioasi wakatupwa duniani. Kwa sasa wanasubiri kutupwa motoni milele. Hao ndio wanaoitwa mapepo. Na ndio wanaosababisha mambo mengi maovu duniani pamoja na kuwashawishi watu wasimwamini Mungu. Na wanafanya kazi pamoja na wachawi. In fact wachawi bila nguvu za giza yaani bila msaada wa mapepo hawawezi kufanya lolote.
Angetupwa huko Jupiter, ungejuaje nguvu ya Jina la Yesu. Usimuogope shetani, ni mbwa koko. Tumia Jina la Yesu kumkemeaKwanini Mungu hakumtupa shetani na wenzake hukoJupiter au Neptune, akamleta humu duniani aturubuni sisi wanadamu?
Majeshi ya farao hayakuwafikia maana Mungu aliwazingira nyuma na mbele kasome vizuri hapo, yaani wakaingia mpaka wanakukaba kabisa sema ulilala bila kuombaWaliingia ili Yesu awaaibishe hadharani kwa ushuhuda huu. Kama wasingeingia nisingeandika ushuhuda huu ambao umewawezesha maelfu kujua nguvu ya Jina la Yesu dhidi ya shetani, mapepo na wachawi.
Ni kama wakati ule wana wa Israeli walipokuwa wanavuka bahari ya Sham. Ulinzi wa Mungu ulikuwa juu yao lakini majeshi ya Farao yaliwafuatia na kuingia katika njia aliyoipasua Musa. Matokeo yake unayajua. Maji yaliwafunika wakaangamia kwa maji. Ni ushuhuda mpaka leo.
Siyo fare alivyofanya angetutenganisha na shetani, kama aliweza kuwaweka samaki, papa ma nguva baharini na si wanadamu duniani.Angetupwa huko Jupiter, ungejuaje nguvu ya Jina la Yesu. Usimuogope shetani, ni mbwa koko. Tumia Jina la Yesu kumkemea
Hujitambui tu wewe ni nani mbele ya shetani. Wewe ni kama Polisi wa Usalama barabarani. Haogopi gari linalokuja mbele yake, hata liwe kubwa namna gani, amepewa mamlaka ya kulisimamisha, tena kwa mkono mmoja tu.Siyo fare alivyofanya angetutenganisha na shetani, kama aliweza kuwaweka samaki, papa ma nguva baharini na si wanadamu duniani.
sioni kwanini shetani asingepelekwa hata Mars au hata Mercury aungue na joto la huko mpaka kiama.
Sasa sisi katuleta duniani, shetani naye duniani, halafu anamuacha anaturubuni, kisha anatuambia tusimsikilize na hatumuoni wala kumfahamu, angalau basi angempa shetani mwili mwekundu au blue ili tuwe tunamkimbia tukimuona.
Bado sioni fair yeye Mungu kutuchanganya sisi wanadamu na Shetani humu Duniani.
Lakini unadhani ni fair kuhukumiwa kwa makosa ua wazazi wako?Hujitambui tu wewe ni nani mbele ya shetani. Wewe ni kama Polisi wa Usalama barabarani. Haogopi gari linalokuja mbele yake, hata liwe kubwa namna gani, amepewa mamlaka ya kulisimamisha, tena kwa mkono mmoja tu.
Mungu anakupenda, amekupa mamlaka ya kumkemea shetani kwa Jina la Yesu.
Ni kweli humuoni, lakini akikukandamiza usiku husikii?
By the way, usimlaumu Mungu. Jilaumu mwenyewe. Uliambiwa usile tunda, ukala. Ungetii amri ya Mungu sasa hivi ungekuwa bado unaishi katika bustani nzuri ya Eden.
Hata hivyo ukiokoka, Yesu atakapokuja atatupeleka mbinguni. Mbinguni shetani hataingia. Shetani ameandaliwa moto wa milele. Ila ukikataa kuokoka utatupwa motoni pamoja naye. Huko utajua rangi yake kama ni mweusi au wa bluu.
Uko kwenye harakati za uvuviKwanin mkuu 😂😂😂
Kwani Yesu haijui siasa ? Au nguvu zake zinashindwa na wanasiasa ? Hiyo biblia yako unajua kuwa iliandikwa na wanasiasa wa Roma ? Au hujui , Kama hujui niambie nikuwekee documentary ya BBCSiasa peleka huko kwenye jukwaa la siasa. Hapa tunashuhudia nguvu ya Jina la Yesu dhidi ya wachawi. Amen?
Kama Shetani anaweza kutumia sauti yangu mwenyewe ili kuwaza mabaya, hapo nina uhuru gani wa kuchagua mema na mabaya?Sauti 3
Ya Mungu
Ya Kwako Na Ya Shetani
Sauti ya maadili mazuri. Wewe kama wewe ni sauti ya nafsi yako yani wewe
Na ikitokea shetani katumia sauti yako
Utajiuliza kwa nn mimi huwa sisemagi hivi na hii sio kawaida yangu kuwaza mabaya
Unapokubali kuwa Mungu alijua future unakubali pia kuwa uovu unaoendelea duniani ni sehemu ya mpango wake.Mimi navyofikiria alikuwa anajua
Sasa utasemaje kwamba alikuwa hajui akati yeye anajua Future
Na Ayubu naye hakufikiwa? Na je, Petro aliyeambiwa "rudi nyuma yangu shetani" ?Majeshi ya farao hayakuwafikia maana Mungu aliwazingira nyuma na mbele kasome vizuri hapo, yaani wakaingia mpaka wanakukaba kabisa sema ulilala bila kuomba
Ayubu ni Mungu aliruhusu na sharti maalumu la kutokugusa uhai wake, vipi na wewe kukabwa na wachawi Mungu aliruhusu wakukabe?Na Ayubu naye hakufikiwa? Na je, Petro aliyeambiwa "rudi nyuma yangu shetani" ?
Ni kweli siku hiyo sikuomba. Nilijisemea moyoni mwangu: "ngoja nilale kidogo ntaomba baadaye!" Hilo lilikuwa somo kwangu nisimpe Ibilisi nafasi, kama Maandiko yanenavyo. Na kwamba tunapaswa kukesha kwa kuwa shetani ni kama simba angurumaye, anazunguka zunguka akitafuta mtu wa kummeza.Nimejiuliza Tuu,,, Hayo Mapepo Yamewezaje Kuingia Nyumbani kwako tena Hadi Chumbani kwako hadi kitandani kwako.
Tena wakapata Mamlaka ya Kuuchezea Mwili wako hadi ulipostuka na kuanza kuwakemea.
Hadi hapo naona Ulinzi wako wa kiroho(kama Unavyodai) sio Mkubwa sana.
Soma post #155 ina majibu ya kinaAyubu ni Mungu aliruhusu na sharti maalumu la kutokugusa uhai wake, vipi na wewe kukabwa na wachawi Mungu aliruhusu wakukabe?
Kesi ya Petro iko tofauti kabisa, Petro ni fikra zake, vipi kuhusu wewe
Sasa si ungesema hukuomba, ndio maana wakapata mlango wa kuingia na kukukabaSoma post #155 ina majibu ya kina
Kwaiyo tunapaswa kukesha Na Tusilale ili shetani asije kutuchezea??Ni kweli siku hiyo sikuomba. Nilijisemea moyoni mwangu: "ngoja nilale kidogo ntaomba baadaye!" Hilo lilikuwa somo kwangu nisimpe Ibilisi nafasi, kama Maandiko yanenavyo. Na kwamba tunapaswa kukesha kwa kuwa shetani ni kama simba angurumaye, anazunguka zunguka akitafuta mtu wa kummeza.
Kwani wanaokabwa usiku wote huwa hawafanyi maombi?? Au ni kwamba wanaofanya maombi huwa hawakabwi?umefanya utafiti??Hata hivyo nimeishaeleza kwamba ilikuwa hivyo ili shetani aaibike. Ningemzuia kwa maombi siku ile asingefanya aliyoyafanya na huu ushuhuda nisingeuandika. Kwa ushuhuda huu wanaochezewa na mapepo na wachawi wametambua jinsi ya kuyafukuza. Hivyo ni faida kwamba waliingia ili wengi wapone.
Umemgusa Ayubu. Haya nakuuliza Ayubu Alifanya nini juu ya majaribio yale ya shetani kwake??Usisahau pia, unaweza ukaomba lakini Mungu akamruhusu shetani akujaribu kama ilivyokuwa kwa Ayubu. Watoto wa Ayubu walikufa, na yeye akapatwa na magonjwa mazito directly kutoka kwa shetani, maana Mungu alimruhusu auguse mwili wake isipokuwa roho.
Shetani Huchinja na Kuua watu??Vile vile kama shetani asingeingia, nisingepata uzoefu wa jinsi anavyowatesa watu na kutafuta kuwachinja na kuwaua. Kwa ujuzi huo nimekuwa mwalimu mzuri.
Siasa.Nadhani umeona sasa kuwa tukio hilo lilikuwa special tena kwa utukufu wa Mungu. Okay?
Sasa mbona walifanikiwa kukufikia hadi kukugandamiza?... Hii ni mojawapo ya faida za kuokoka. Unatembea kifua mbele bila kuogopa wachawi.